torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,484
- 11,173
Wasalaam, mpo poa wana JF?
Kama mishe asijaenda leo jikaze kesho zitaenda njema sasa hapa ipo kama hivi, nowdays vijana wa kisasa wanataka mapenzi lakini habari za kuoana hamna, yani hapa nasema wote awe male au female ni kubanjuka tu.
Sijui ndo kula ujana au? Utakuta limdada lina miaka kama 30 halina habari ya kuolewa na unakuta njemba inakimbiza 40 hata mtoto wa kusingiziwa hauna doooh! Yani watu sikuhizi wanatamani kungekuwa na ndoa za mikataba ile unachukua jiko J2 had J3 unabwaga.
Siongei sana kahoja kangu ndo hako lakini sijui kwanini ndoa hazipendwi sikuhizi;
Starehe zimekuwa nyingi?
Life style imebadilika?
Au ndo elimu ya kileo?