Wanaume wa aina hii mnatuharibia wanawake bahati zetu acheni

Wanaume wa aina hii mnatuharibia wanawake bahati zetu acheni

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,882
Hii ni post yangu ya mwisho humu JamiiForums. Natoa dukuduku la mwisho.

Unakuta mdada upo njiani au barabara yenye magari mengi tu binafsi unaelekea kituoni unajua tu kwamba kabla ya kufika barabara kuu/kituoni kutokana na magari kuwa mengi njia hiyo utapata lift.

Ile tu unatoka nyumbani anatokea mwanaume yupo kwa mguu anaanza kukuambia dada twende wote nikupe kampani, wewe unajua naenda wapi? Ukipunguza mwendo ili atangulie akuache nae anapunguza mwendo anataka kukushika kabisa mkono eti dada unaumwa?

Yaani basi tu anaharibu kila kitu. Yaani mtu anaenda hatua kwa hatua na wewe hata upumui wakati ukipanda nae daladala hata nauli halipi.
 
hii ni post yangu ya mwisho humu jamii forums . natoa dukuduku la mwisho

unakuta mdada upo njiani au barabara yenye magari mengi tu binafsi unaelekea kituoni unajua tu kwamba kabla ya kufika barabara kuu /kituoni kutokana na magari kuwa mengi njia hiyo utapata lift .ile tu unatoka nyumbani anatokea mwanaume yupo kwa mguu anaanza kukuambia dada twende wote nikupe kampani .wewe unajua naenda wapi ? ukipunguza mwendo ili atangulie akuache nae anapunguza mwendo anataka kukushika kabisa mkono eti dada unaumwa? yaani basi tu anaharibu kila kitu. yaani mtu anaenda hatua kwa hatua na wewe hata upumui wakati ukipanda nae daladala hata nauli halipi

Ahahahahah ukwel mtupu. Na ukiongozana nae lift hupat.
 
Wacha kupenda dezo wewe, fanya kazi jitegemee!
 
Siku hizi ukipishana na gari 10 za wadada 7...yaani hadi usawa huu bado Hauna hata bajaji ya kukutoa kwako hadi stand? Tumia uchumi vizuri au ni polygon?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom