Miss Jay
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 211
- 174
Habari zenu wanajamvi,
Nimekaa nikawaza sana kwanini wakaka mkiwa na umri wa miaka 32 hadi 35 mnakuwa wagumu sana kuwa kwenye mahusiano makini na yanayoeleweka? Unamwambia mpenzi wangu sasa kila wa leo mimi na wewe tunaishi kama mke na mume yani tushachunguzana kwanini tusioane tukaanzisha familia?
Wana majibu mepesi sana kwa swala zito kama hili,utasikia nipe muda na kweli kwa wanawake wengine muda watatoa na wengine unaweza kuta akapata mtu serious akamove on na akaolewa.
Sasa huyu mwanaume anaenda we anachezea makida makida watoto wa watu kimbembe sasa kinakuja ana 40+ anaanza kuhaha sasa wenzake wote wana familia wametulia na yeye ndo anasaka mke kwa nguvu zote.
Niulize tu hivi ujana wako ulikula na nani mpaka huu uzee ule na mimi? Ina maana mimi nina 26 wewe 40 mtoto wetu wa kwanza akiwa na 20 wewe una 60 mimi nina 46 na ukute najipenda bado nadai na nahitaji kuridhishwa kimapenzi wewe umechoka na hii life expectancy yetu ndo sijui tena.
Mtoto anaanza kusoma chuo sijui kama utakuwa unafanya kazi au umeinvest vya kutosha kuweza kulea wanao mimi sijui yani.
Mungu atusaidie sana jamani maana kila jambo na wakati wake na wanaume fanyeni maamuzi sahihi kwa wakati muafaka maana jambo la familia ni haliepukiki na hapa naongelea wale ambao wana mpango wa kuwa na familia na wale ambao hawahitaji kuwa na mke/mume na watoto basi tena.