Ukitaka kutajirika oa/olewa kabila hili...

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,447
Reaction score
10,785
Nilikutana na mjamaika-mtz mmoja alikuwa anafundisha ujasiliamali akatusihi huoa wanawake wa makabila haya ili kuwa na uhakika wa kipato:
1. Wachaga
Ila uwe mvumilivu na mbunifu,kama unataka pesa utazipata ikiwa unajali mawazo yake. Ni wabunifu ktk biashara na kuna uwezekano ukazaa watoto wenye akili ya pesa/kutafuta. Wanachangamkia fulsa hata kama ndogo.
2. Wakikuyu
Hawa tabia zao ni kama wachaga kwa Tanzania. Wanapenda kazi na ni watafutaji wazuri wa pesa. Si wavivu ktk kutafuta gaps na kuzitumia.
3. Wayoruba
Hawa nao ni wazuri ktk kuchangamkia fursa. Ukipata mke myoruba jua tayari una mtaji mzuri na ukiutumia vzr unapata pesa za kutoshaa.
KUMBUKA: wasichana/wanaume wa makabila haya wana-software ambayo usipoi-accept na kui-run in your system utaambulia patupu. Pia weka control system maana akikuzidi akili ya biashara na ki-utawala utabaki kulaumu.
NB: mi nilimkimbia mmoja as kwangu maisha ni zaidi ya pesa!
Uchaguzi mwema!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
wachagga tunasemwa 24/7!! nyie hamchoki.. wachagga this.. wachagga that...
 
huyo mjamaika amekaa muda gani tz hadi ajue kuchanganua makabila yote 100+ ya tz!!? au aliwahi kuoa mchaga, mkikuyu na myoruba?
 
Dunia nzima inajua Wajamaica na bangi ni kama pete na kidole, sasa kama alikushauri baada ya kuvuta hayo ndiyo matokeo yake!
 
Nilikutana na mjamaika-mtz mmoja alikuwa anafundisha ujasiliamali akatusihi huoa wanawake wa makabila haya ili kuwa na uhakika wa kipato:
1. Wachaga
Ila uwe mvumilivu na mbunifu,kama unataka pesa utazipata ikiwa unajali mawazo yake. Ni wabunifu ktk biashara na kuna uwezekano ukazaa watoto wenye akili ya pesa/kutafuta. Wanachangamkia fulsa hata kama ndogo.
2. Wakikuyu
Hawa tabia zao ni kama wachaga kwa Tanzania. Wanapenda kazi na ni watafutaji wazuri wa pesa. Si wavivu ktk kutafuta gaps na kuzitumia.
3. Wayoruba
Hawa nao ni wazuri ktk kuchangamkia fursa. Ukipata mke myoruba jua tayari una mtaji mzuri na ukiutumia vzr unapata pesa za kutoshaa.
KUMBUKA: wasichana/wanaume wa makabila haya wana-software ambayo usipoi-accept na kui-run in your system utaambulia patupu. Pia weka control system maana akikuzidi akili ya biashara na ki-utawala utabaki kulaumu.
NB: mi nilimkimbia mmoja as kwangu maisha ni zaidi ya pesa!
Uchaguzi mwema!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Ok! fine but remember Marriage is the only game that is not called on account of darkness.

Mimi The Boss hii tabia yako ya kuita watu kutokana na muktadha wa topic unaniachaga hoi sana hasa ukiwa unamuita Nyaningabu

ha ha haa wewe ukiona topic ya usafi wa mwili
muite Nyani Ngabu kama hajaiona lol
au ya complain za watu wa online
na ukiona topics ya wadada na pesa muite lara 1 ..lol
waki comment ndo utaelewa why nawaita lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom