mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 619
Assalam aleykum wanabody,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mwanzoni mwa mwezi huu nilitoa bandiko la kutafuta mke wa kiislam hapa japo nilipata pm kadhaa lakini hakuna aliyekua serious kwa ndoa.
Nimeamua kurudia tena tangazo langu kwa atakayekua tayari tukutane pm,sifa za nimtakaye ni umri 18-33 dini muislam mengine sina shida nayo akiwa na mtoto pia sio mbaya nitampokea na tutamlea mwanaye pamoja haijalishi anakazi au hana mimi nina kazi zangu zinazoweza kuendesha maisha ya familia bila tabu.
Karibuni kwa aliyetayari allah akipenda baada ya kumaliza mfungo tuingie kwenye ndoa.