Habari wana MMU
Takribani siku miezi kadhaa iliyopita Rafiki angu Budole aliniita kwake nilipofika akaanza kuniambia kuwa Boss wangu,,anamsumbua sana mke wake kiasi kwamba anamfanya mkewe akose...
Kuna binti tunafanya kazi industry moja, so wakati mwingine huwa tunafanya kazi pamoja. Nimetokea ku-connect sana na huyu manzi, toka siku ya kwanza. Na tunaelewana kinoma, na mambo yananoga zaidi...
Habari za saa hii wakuu,
Leo nakuja tena kuomba ushauri kwenu, nikiwa na majonzi mwili mzima sio moyoni tu. Ni hivi nina mchumba ambaye nishamtolea barua na huu mwezi wa nane tulipanga tupeleke...
Kuna vitu hunichanganya kwa hawa viumbe maana huwa siwaelewi maana mara utakuta mwanamke anaponda mwanaume ambae anafanya mapenzi kisharo baro, muda mwingi mapenzi anayahamishia mdomoni akiingiza...
Hala!Natumai nyote ni wazima.
Ningependa tujadiliane kuhusu huu msemo wa mwanamke huexpaya baada ya kuwa na watoto. Unamanisha nini? Au unamaanisha mwanamke anaejitupa baada ya uzazi au kwa kuwa...
Mapenzi ni mchezo wa ajabu sana;
Mwanamke ni kiumbe chenye mvuto wa aina yake, hasa ukikuta aliye umbika, kwakweli ni burudani akiwa anatembea anavutia sana."Ndio maana pale CASINO POSTA kulikuwa...
Nipo tayari kumpa gari mpyaa vits ya kutembelea , naomba anifate PM tuchonge nitamuhudumia kila kitu ,na maitaji yote kama mke, nimejenga dar na zanzibar ,
Kwanza sijawahi kuwa na mwanamke nikampenda mpaka ndani moyoni.. Katika maisha yangu yote mpaka umri wa sasa wa miaka 30 sijawahi kuwa na mpenzi nikadumu nae muda mrefu, tatizo kila msichana naona...
Habari JF,
Leo naomba niwazindue dada zangu kuwa usemi wa "utazunguka bucha zote ila nyama ni ile ile." huu usemi si wa kweli.
Nimeleta hapa baada ya kupata ushahidi wa kutosha kuhusiana na...
Kuna changamoto kibao zinazowakumba wachumba wanakotangaza nia ya kufunga ndoa, na kufanya harusi.
Naomba tujullishane magumu yaliyokupata, au kumpata mtu yeyote.
Hii itasaidia kuwaandaa wachumba...
Suala la mashuga mami na mashuga dadi linazidi kukua maeneo mengi nchini Tanzania huku maeneo ya majiji kama vile dar, arusha, mwanza, mbeya na tanga ikiwa ni vinara.
Kutokana kwamba jamii yetu...
sifa za mwanamke
anatokea mikoa ya kaskazini
hajawai kuolewa
hana mtoto
miaka 31-35
elimu ya chuo
mfanyakazi
anaishi kwa wazazi
mume awe
muislam swala tano
mkoa wowote isipokuwa iringa mbeya...
Ndugu zangu za jioni
Mwaka Jana nilikutana na Ex wangu,kwa bahati mbaya au nzuri tukaanza mahusiano upya,ilikuwa mwezi wa Tisa Huo.
Mwezi wa kumi na moja tukakutana kabla hajarudi chuo, Alikuwa...
Waheshimiwa nawasalimu,
Nimekua chini ya shinikizo kutoka kwa wazee wangu kwamba nioe niweze kuwa na familia yangu maana kwa sasa nipo kwenye early 40's
Bahati mbaya sana mchakato wa kupata...
Habarini wakuu,
Aisee ukiwacheck mabinti wa kizungu hata hawa wanaokuja kwa programs mbalimbali huku Bongo utagundua wana miguu minene mizuriii hadi kucha half na vitako vilaini vinavyotetemeka...
Watu walipigwa na mshangao mkubwa nchini Nigeria baada ya bibi harusi kutoroka kanisani alipogundua mume wake mtarajiwa sio mfanyikazi wa kampuni moja ya ya kitajiri ya kuuza mafuta.
Je ungekuwa...
Si vizuri kuchunguza nyendo za mpenzi wako haswa mawasiliano yake kwenye simu na hata katika hii mitandao ya kijamii kuwa anawasiliana nini na nanani matokeo utakayo kumbana nayo huko kwa asilimia...
Wakuu nipeni busara zenu.
Nina mdada ambaye nina malengo naye katika uhusiano, lakini naogopa kumuonja kwa kuwa nitamkinai mapema beside moto wa tamaa ya ngono umeshaniwaka.
Je wanajamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.