Nitamkwepaje huyu msichana wa kazi?

Nitamkwepaje huyu msichana wa kazi?

Nashon daniel.

Senior Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
100
Reaction score
187
Wana Jf,

Naishi na mke na watoto wawili wadogo, mimi na mke wangu sote ni wafanyakazi. Mke wangu ni mwalimu nami nafanya kazi za marketing.
Mie huwa nawahi toka job mapema kwa kazi ya field huwa namaliza mapema kulingana na ratiba ya siku, wife anatoka job saa kumi na mbili jioni.

Nyumbani niko na dada wa kazi mwenye umri wa miaka 26, dada huyu anamazoea sana nami kiasi kwamba hata udiriki kuniomba ushauri pale anapokuwa na hisia za mapenzi afanye nini kwani anawaogopa wanaume eti hajawazoea kama alivyo nizoea mimi.

Kidogo kidogo najikuta naanza kumtamani huyu dada, naye nahisi kama kajua namtamani, sijui nifanye nini nafikiria kumrudisha kwao ila siwezi kwani hakuna wakukaa na watoto.

Naombeni maujanja jamani nifanye nini.
 
Wana Jf.
Naishi na mke na watoto wawili wadogo, mie na mke wangu sote ni wafanyakazi.

Mke wangu ni mwalimu nami nafanya kazi za marketing.
Mie huwa nawahi toka job mapema kwa kazi ya field huwa namaliza mapema kulinga na ratiba ya siku, wife anatoka job saa kumi na mbili jioni.

Nyumbani niko na dada wa kazi mwenye umri wa miaka 26, dada huyu anamazoea sana nami kiasi kwamba hata udiriki kuniomba ushauri pale anapokuwa na hisia za mapenzi afanye nini kwani anawaogopa wanaume eti hajawazoea kama alivyo nizoea mimi.
Kidogo kidogo najikuta naanza kumtamani huyu dada,

Nae nahisi kama kajua namtamani, sijui nifanye nini nafikilia kumrudisha kwao ila siwezi kwani hakuna wakukaa na watoto.
Naombeni maujanja jamani nifanye nini.
usijaribu kufanya uhuni nyumbani kwako hasa kwa hawa ma house girl sababu mwisho wa siku ni aibu we jikaze tu kisabuni na uwe unampa uhuru wa kutembea tembea hasa siku za week end ili akazipunguze huko mitaani maana na yeye anahisia kama binadam wengine ni hayo tu
 
V

Yap, umenena mkuu
 
Back
Top Bottom