Asiyetimamu tu ndo humuonea wivu mke/mume

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
Amini usimini ukijiona unamuonea wivu mke au mme wako bila sababu ujue unatakiwa ukachekiwa na dokta wa vichaa, kukumbatia sana hisia zako mbovu za wivu ndo unachofikiria kitakutokea kweli.

Kuwa na amani na mwandani wako usimfatilie usimkague mara akirudi umbinye dyudyu kuchek kama ilimwaga oil au kumnusisha mke ugoro huku akae kichurachura, huwez kujizuia wivu ila usiuunyeshe ni dalili ya udhaifu kaza roho usipeleleze sana, wengine hadi wanahack simu za wenzao.
 
Ha ha haaa ! wengine wananuswa kama ananukia kapafyumu cha nje....ni upuumbavu tu
 
Hahahah...

Sasa nimepata kazi mpya ya kujiminya zoote kabla ya kurudi home!!
 
Back
Top Bottom