MSATULAMBALI
Senior Member
- Apr 1, 2012
- 187
- 55
Jaman kuna shoga mmoja nimemkuta facebook kaniomba urafiki sikujua kama ni shoga nimemkubali tu kaanza kunichunguza kwa kila nifanyalo nikipost kitu hakosi hata nikiweka nukta anakoment kaanza kuchat na mm leo kaniambia live ananipenda anataka anifuate nimgegede kachukua namba yangu ya simu ananisumbua kweli...nimfanyaje nimekanya hasikii...kwa anaemtaka +255756780124 anaitwa elisha oballa ananikera mpaka dem wangu kaanza kunimaind eti nimemgegeda...