Wanawake wajawazito nao hutongozwa?

Wanawake wajawazito nao hutongozwa?

nyumbatatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,076
Reaction score
940
Habari wanajamvi!, Kuna jambo la kunishangaza limenisogeza barazani, Nikihitaji mawazo yenu!.

Ni hivi:- Nikiwa nimetulia Na shemeji/wifi yenu tukipiga story mbili tatu za weekend!, akanipa michapo ya harusi aliyohudhuria jumamosi kuwa Kuna jamaa alijipendekeza kwake lakini shemeji yenu akamjibu jamaa kuwa tayari yupo chini ya umiliki wangu, kwa alichodai kwake ni mshangao ni pale huyo jamaa kuomba awe mchepuko tu kwake itatosha, japokuwa mwanzoni alianza na gear ya long term relationship.

Baada ya shitaka hilo shemeji/wifi yenu akaanza shusha lawama kwa wanaume kuwa ving'ang'anizi hata pale wanapojulishwa uwepo wa ndoa takatifu, ndipo nikaanza kujibu kwa kupangua hoja yake moja baada ya nyingine, Na mwishowe nilimalizia kuwa mwanamke aliyesalama kutongozwa Ni yule mwenye ujauzito unaoonekana!.

Alichonijibu kwa kweli mshangao ukahamia kwangu:- kwamba eti hata wanawake wajawazito hutongozwa tena hata zaidi ya kawaida bila kujali ukubwa wa mimba yenyewe!. Na zaidi ya hapo akashusha shuhuda za mashosti zake wawili waliopitia hali hiyo!.

Binafsi nimekuwa mzito kukubali hii hasa nikizingatia binafsi zama zangu za uwindaji mwanamke akivaa Pete ya ndoa Tu, basi kafanikiwa kunipangua bila hata yeye mwenyewe kujua kwamba alishakuwa targeted. Je, Ni kweli wanawake wajawazito hutongozwa?

Na watongozaji huvutiwa Na vitu gani?, kwani ninachojua kipindi hicho ndipo wanawake wengi huwa rafu Sana Na wakati mwingine hutawaliwa Na hasira za karibu Na mambo ya kuudhi mengi Tu!, sasa ndio najiuliza huo mvuto wa kuwatongoza unaanzia wapi?

Karibuni kwa mjadala...
 
Nawapenda sana,,nimwingine kanitongoza mwenyewe ila nipowauliza jamaa wakasema eti anangoma ,,,na alivyo pendeza kidogo tu nitufue,,,wanak,,,,tamuuu sana na jJoto
 
Kwanza sijawahi kukubali hata kuanza kusikikiza mwanzo wa hadithi za hao wanao mtongoza, na huu ni msimamo ambao nilijiwekea.
Sasa ukiona mwamake wako anaanza kukusimulia upuuzi wa aina hiyo ujue ipo shida au wewe unae kubali kusikikiza wanao taka kumvua chupi ndio una matatizo.
Na kama anakusimulia kwamba mashosti zake hua wana gegedwa, sasa hapo wewe unatarajia nini[emoji47], au nasubiria hadi na yeye akusimulie walio kwisha mgegeda[emoji51]
Ebu jifunze kutogeuzwa zoba aiseeee..... usiruhusu kusikiliza ujinga wa aina hiyo kabisa[emoji135] [emoji135]
 
Hahahahaha mada za hunu bhana tehtehte!!mke wangu ni mjamzito na nimemaliza kumugegeda muda huu tehteh dah kuna utofauti mkubwa sana pindi bado hajabeba ujauzito na alivyo sasa tukigegedana..anapata vishawishi sana vya kutongozwa kipindi hiki kanambia maana anavyovutia tu hatari sana sababu kavimba miguu si sana maana sana inaboa hasa kwa sisi waungwana.Kuhusu usafi ni msafi sana nje na ndani.NITAGONGEWA.
 
1. Kuna watalaam wanajua kunusa kweli, wazoefu wa kugonga wake za watu, tena wale wenye stress za ndoa. Raha ya kumgonga mke wa mtu ni kuwa hana gharama, kila kitu mume wake anagharamia.
2. Wataalamu wengine wao wako addicted na wanawake wajawazito, wanakwambia wanajoto flani hivi adim sana.

Mwanamke kujitunza ni yeye atake, huwezi kumchunga mwanamke.
 
Kwanza sijawahi kukubali hata kuanza kusikikiza mwanzo wa hadithi za hao wanao mtongoza, na huu ni msimamo ambao nilijiwekea.
Sasa ukiona mwamake wako anaanza kukusimulia upuuzi wa aina hiyo ujue ipo shida au wewe unae kubali kusikikiza wanao taka kumvua chupi ndio una matatizo.

Kweli kabisa Mkuu,sababu wale aliowakubalia na kumvua kyupi hawezi kukwambia.
 
Wanaume nyie waongo na wanafiki wakubwa, mama mjamzito mchafu huyu anamatatizo yake ya uchafu, lkn tangu lini uchafu ama harufu mbaya umekuwa tatizo kwa Wanaume? Mbona mnalala na wendawazimu, vichaa, kina dada poa, hausgal aliyetoka leo kwao mbalizi, hajui kuoga wala kupaka mafuta? Tena mnikome mama Kijacho mimi, tena nimkali haswa sipendi majungu, Shwwainiiiiii
 
Kuwa makina na huyo wifi wetu kwa huyo jamaaa,unaweza kupewa taarifa kumbe jamaa kashagegeda kitaaambo,chunguza kwa makin je anayokwambia ni kweli?
Sina sababu ya kuishi kwa hofu ya dhana, najua mwanamke kutongozwa Ni suala lisiloepukika, nimchunguze kwani natafuta sababu ya kumuacha?, Ni juu yake kufanya au kutofanya usaliti
 
Back
Top Bottom