Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, tatizo langu nina uume mdogo ninavyojua mimi, mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikolojia maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale ninapokubaliwa na...
4 Reactions
161 Replies
21K Views
Habari za Jumapili wanajamvi, Naomba nishauri wanaume wenye tabia ya kuacha au kutelekeza wake zao nusunusu. Takuta mwanaume anakufanyia visa vingi ndani hapo ndo kashaanza michepuko huko...
32 Reactions
467 Replies
29K Views
Mademu wote ninaokaa na kudate nao wanakuwa kama wanazengua tu Mara utasika Demu anakwambia ohhh nimeshauriana na rafiki zangu wameniambia wewe handsome kwamba maendisome uwa mnasumbua sana ...
4 Reactions
74 Replies
13K Views
Wana JF Habari zenu,nimejaribu kuliangalia kwa ukaribu suala la magruop ya WhatApp hasa ya watu wasiojuana personally,kuna michepuko huko acha kabisa. Magruop yanarahisisha mtu kupata namba ya...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Finding a husband is hard... 1.You find a handsome one, the brain is empty. 2.You find a brilliant one, he looks too serious. 3.You find a rich one, he is disrespectful. 4.You find a hard-working...
7 Reactions
73 Replies
5K Views
Ni majira ya saa kumi na mbili kasoro Mashaka amepanda daladala ambalo wengi wanaonekana kuwa na sura zilizosawijika, kunjana na kupoteza nuru kwa uchovu, pembeni yake Mashaka amekaa dada mmoja...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
Salàam
9 Reactions
37 Replies
7K Views
Aisee nimefanya kautafiti kidogo hapa nikagundua wasichana au wanawake wengi wanaotongozwa kwenye giza huishia kuchezewa tu. Siku zote katika ulimwengu wa vitu visivyoo onekana ,giza husimama...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wana- JF nyote, Katika maisha yangu nilikuwa na ndoto za kuoa mapema ili nikabiliane na jukumu la malezi nikiwa bado kijana mwenye nguvu. Nilipenda kufunga ndoa nikiwa na umri wa...
11 Reactions
88 Replies
13K Views
Katika suala ambalo wanaume wengi tunalokutana nalo mara ya kwanza unapomtokea mwanamke ni hili. Ukimuuliza je ulisha-do na wanaume wangapi? Kiukweli hawezi kukuambia idadi zaidi ya kukuambia ni...
7 Reactions
111 Replies
11K Views
Jamani najiuliza hili swali sipati majibu, unakuta umemuacha mwanaume alafu anaanza kukufatilia mawasiliano yako kila unachofanya anapost kwenye mitandao ya kijamiii nashangaa sana mtu...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa wale wanaongojea Mr Right and Miss Perfect.
20 Reactions
81 Replies
5K Views
Nimejaribu kufanya utafiti kwa kuzungumza na marafiki zangu kumi kwa kuwauliza je waliwahikupanga kuwa na wenzi wao walio nao kwa sasa? Matokeo yanishangaza sana zaidi ya nusu yao walisema...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimu, Mimi ni mwanaume ambaye nimekata tamaa. Maisha ya kuwa single yamenichosha na kila nikitafuta mpenzi hakai sana bali ananiacha na kwenda zako. Nipo vizuri kustahili kupata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bila shaka mu bukheri wa afya, Kuna jamaa yangu ameniomba sana niishi nae ktka nyumba ya kupanga ambayo anaishi yeye na mkewe na mtoto wao mmoja. Kisa kiko hivi, hiyo nyumba alikuwa anaishi na...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Dada huyu amezalishwa na jamaa watoto wawili, wa kwanza ana miaka 3 wapili mwaka 1, walikua na ahadi ya kuoana, jamaa ni Dr (Ph.D), dada ni accountant. Wamekuwa kwenye uhusiano for 5years now...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF, Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno...
1 Reactions
182 Replies
19K Views
Wapendwa wa MMU nawasalimu with Love, Katika ulimwengu wa utongozaji mambo yamebadilika sasa to the extent hata akina dada/mama huwa tunajilipua once in a while. Ila ukweli unabaki bado kwa...
52 Reactions
321 Replies
48K Views
Habari zenu wadau, Leo ninapenda kuzungumza kuhusu kupeana ahadi wakati tunapokuwa kwenye mahusiano. Utasikia ooh! baby nitakuoa, mwingine utamsikia akisema wewe ni mwanaume/ mwanamke wa maisha...
10 Reactions
58 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…