Magruop ya WhatsApp ni balaa kwa michepuko

Magruop ya WhatsApp ni balaa kwa michepuko

Mr Mose

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
369
Reaction score
529
Wana JF

Habari zenu,nimejaribu kuliangalia kwa ukaribu suala la magruop ya WhatApp hasa ya watu wasiojuana personally,kuna michepuko huko acha kabisa.

Magruop yanarahisisha mtu kupata namba ya mtu yeyote iliyepo humo kwenye gruop, kisha wanahamia inbox huko watamalizana kiutuuzima,kama una mke/mume au mpnz wako angalia sana aina za magruop aliyonayo ktk wasap yake,naongea haya ninaushuhuda wa namna ilivyorahisi kumtongoza na kumpata mwanamke kutoka katika group.

Asanten nakaribisha mchango wako
 
Wana jf habari zenu,nimejaribu kuliangalia kwa ukaribu suala la magruop ya wasap hasa ya watu wasiojuana personally,kuna michepuko huko acha kabisa,magruop ynarahisisha mtu kupata namba ya mtu yeyote iliyepo humo kwenye gruop,kisha wanahamia inbox huko watamalizana kiutuuzima,kama una mke/mume au mpnz wako angalia sana aina za magruop aliyonayo ktk wasap yake,naongea haya ninaushuhuda wa namna ilivyorahisi kumtongoza na kumpata mwanamke kutoka katika gruop,Asanten nakaribisha mchango wako
du, mkuu hebu toa mfano wa hayo magroup kwanza. mtu hujiungaje?
 
Mtu anaweza kuku add katk gruop nahuko ukakutana na wengine nao wanaweza kukuad magroup mengine
 
Very Possible uyaongeayo! Haya magroup yanakumbushia pia makoloni ya zamani hasa kwa wale waliokuwa shule moja kujianzishia group la whats app! Mtu alikuwa na koloni lake na wamepotezana miaka tena wengine zaidi ya kumi lakini ndani ya muda mfupi kwenye group wanakutana lazima kiwake unless waliachana kwa ubaya ubayani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom