technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,694
- 58,737
Mademu wote ninaokaa na kudate nao wanakuwa kama wanazengua tu
Mara utasika Demu anakwambia ohhh nimeshauriana na rafiki zangu wameniambia wewe handsome kwamba maendisome uwa mnasumbua sana !!!
Kesho umekaa geto unasikia Rafiki yake na Demu anagonga mlango !!
Unafungua anajichekesha utasikia anasema mambo
Unamjibu Poa
Rose yuko wapi unamjibu daaah tumeachana kwani ujui ajakwambia??
Anajibu no ajaniambia!!
Anakaa !!
Utasikia Ndani kwako pazuri umekula lakini au nikupikie ??
sasa unakaa unajiuliza huyu Demu ni marafiki na aliyekuwa Demu wangu inakuaje aniambie hivyo?
OK poa nimeamua kutafuta Demu mbali na mitaa yangu ,mbali na kwangu mpya kabisa tayari kwa kuoa sio kucheza cheza naye tu nimechoka kuchezea watoto wa watu !!