Mpenzi wangu anashobokea sana rafiki zangu

Mpenzi wangu anashobokea sana rafiki zangu

sasa na wewe si uwashobokee marafik zake kwan shida iko wap?
 
Nakuonea huruma sana mana hana mzazi wako akiona ulichoandika anaweza sema bora angepata watoto wa kike pekee..
 
Zamu ya nani leo?
Zamu ya...............
 
Inaelekea kuna vitu vimeperea kutoka kwako ila akiona friends zako anakuta wako absolutely perfect..
 
Yawezekana rafiki zako wamekuzidi kimuonekano hivo wanamvutia.
Pia anawashobokea ili kuonyesha kuwa hana chuki au maringo mana marafiki hawakawii kuharibu mahusiaono ya watu mana wataanza kusema anadharau au anaringa,hawapendi n.k
 
Back
Top Bottom