Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa mfano, wale walioko kwenye ndoa labda baba na mama wote wanapenda michepuko au mmoja wao ni bingwa wa michepuko mbaya zaidi wanafika mbali hata kinga kwao inakuwa habari gani hawawezi kula...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Wadau msaada wa malezi .. Nina kabinti kangu kana miaka 4...naamini nimekuwa nakalea katika mienendo mizuri anapokosea namfundisha na kumwambia ukifanya hivi si vizuri mama baba pia mungu hapendi...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Nimemzidi miaka 4 anaetaka kunioa ,napatashida sana siku ya harusi umri wetu kutajwa hadharani .
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimeona niwashirikishe hili kwani ndilo nililonalo kwa sasa. Kuna mabinti wawili ambao wote wana sifa ninazozihitaji. Nimejitahidi kuwaweka karibu na imekuwa hivyo. Nina malengo ya kuwa na yeyote...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari za leo wakuu, Ni jambo la kushtaajabisha kabisa wajameni, mke wangu kabisa wa ndoa ananifanyia ukatili wa hali ya juu namna hii?
6 Reactions
128 Replies
10K Views
Nasema nikipata gari dar yote itakua kiganjani kwa kupitia mademu wote wanaopenda magari na sio mwanaume kama ye alivyo Nasema haya yote maana sijawahi kuwa nao kila nikiwatokea .,wananikataa...
12 Reactions
85 Replies
7K Views
Habari, Nipo katika Mahusiano na girlfriend wangu for almost 2yrs+ now, sasa nikaamua nimjaribu kwa namba ngeni as a joke bt najua kabisa ananipenda kwa dhati kwasababu tupo katika Mahusiano ya...
3 Reactions
153 Replies
17K Views
Hivi kwanini waanzilishi wa haya mambo ya ndoa waliona ni bora kuona koo kwa koo au zaidi ya hapo na sio ndugu kwa ndugu, pengine ndoa zingedumu maana maisha ya ndoa ya sasa ni zaidi ya vita...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna jamaa tunafanya nae kazi nje ya mkoa wa Dar ameoa (ndoa ya kikristo) na ana watoto wa 3 mke ni mfanyakazi katika taasisi moja ya kibenki. Huyu mke jamaa ndio kamsomesha kuanzia degree mpaka...
4 Reactions
64 Replies
8K Views
Habari za weekend wana MMU Hapa nilipo nimetoka kusuluhisha mgogoro mzito sana wa rafiki zangu kipenzi! Ishu yenyewe iko hivi! Mke alisafiri na kumuachia simu mume wake yaani walibadilishana simu...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu wa JF, Nimeona leo nitoe siri yangu hapa ya muda mrefu ambayo imekuwa ikiniumiza sana pale tu ninapokumbuka, nakosa raha na amani inapotea. Kwa ufupi kabisa, nilizaliwa mkoani Mara...
44 Reactions
291 Replies
55K Views
Wana JF Umuhofia kwenu, Nimeona nililete kwenu hili, siku za nyuma kizazi cha JK, wakina dada walisumbua sana kutupima uwezo kama hakupendi au kabla ya kumpata awe amekupukutisha kila kitu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarani wadau.... Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu natafuta mpenzi ambae baadae atakua mume wa maisha yangu. Mimi ni binti wa miaka 27 ni mkristo elimu degree na nmeajiriwa...
5 Reactions
64 Replies
8K Views
Kiufup nyumba za kupanga zina majaribu ya kila aina ila ya huyu mrembo nahisi kaninasa tayari maana binti utadhani ni pacha wa merimeta vile.Ila boy anae date nae kwa kuiba ananitishia life bila...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Nadhani topic iko wazi mimi ni mzanzibar mwenye asili kiarabu miaka yangu 37 nina mke moja elimu form four kazi fundi wa simu nimrefu maji wa kunde mnene kidogo. Sifa za mke ninae mtaka ni awe...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kati ya pesa na nyege kipi kina uchochezi mkubwa zaidi wa kumfanya mwanamke achepuke?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mnawaza kuwa na mahusiano na mwanamke mwanaume kipindi upo njema ukawa unamsaidia sana mpenzi wako kwa kila kitu mahitaji yote. Inawezekana mwanaume ukayumba kidogo ukawa hata huna kazi na kipindi...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Salamu wa MMU leo inabidi nikiri na kutubu kabisa labda hali hii itaweza badilika. Story ni hivi wakati nipo chuo fulani jijini Dar, mwaka wa pili nilitokea kumpenda binti mmoja aliyekuwa mwaka wa...
10 Reactions
103 Replies
15K Views
Juzi kati nilikua Ubago mesi kwenda kuchangamsha akili sasa kwa bahati nzuri nilienda na dem wangu, kukatokea simtofaham tukapis,hana kiswahili na dem wangu nikajitenga nae, sasa kwa bahati...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wanaume ambao mnahisi hamuwatoshelezi wake zenu ipasavyo jaribuni kukaa na wake zenu muwashauri waache kuchepuka badala yake watumie ARTIFICIAL PENIS {nyeti za kiume bandia}...hii itawasaidia...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…