Unapotongoza wasichana wawili kwa wakati mmoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unapotongoza wasichana wawili kwa wakati mmoja

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tindikalikali, Jun 14, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  Nimeona niwashirikishe hili kwani ndilo nililonalo kwa sasa. Kuna mabinti wawili ambao wote wana sifa ninazozihitaji. Nimejitahidi kuwaweka karibu na imekuwa hivyo. Nina malengo ya kuwa na yeyote kati ya hao maishani. Hofu yangu ni kwamba Itakuwaje wote wakinikubali? Pili lengo ni kuminimize risk, je niendelee na huu mchakato au nikomae na mmoja?
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Bora ubaki nao wote wawili! Fanya risk diversfication! Don't put all eggs in the same basket!
   
 3. nemic4u

  nemic4u JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 434
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Incase na wao wana mawazo ya kukupanga wewe kama wewe unavyotaka kuwapanga utafurahi?
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  una damu ya um---------
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  inaitwa portifolio investment hiyo, nimekusoma. Maana wote hawaeleweki>hawako direct
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,527
  Trophy Points: 280
  mnachosha nyinyi watu sometimes..

  juzi unakuja na thread hupendwi na wadada mpaka ulazimishe

  leo una wawili unaogopa watakubali wote

  mmeshafanya vichwa vyetu ni vya ku test kwa kila upuuzi naona..
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  siyo vizuri, utata ni kwamba naweza mchagua mmoja ambaye hata hatawah kufikiria kuwa na mimi
   
 8. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hawana ujanja huo.
   
 9. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  umechoka na nini, ndo hao wazinguzi au hujaelewa vizuri.
   
 10. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,184
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mkuu, mi nahisi atatoswa na wote hao na akimpata mmoja wao ujue kamlazimisha.
   
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,690
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  Lakini awe makini maake industrial PAR(portifolio at risk) for >30days ni 1.0
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
 13. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  umechoka na nini, kwani leo nimesema napendwa? Ndiyo hao wazinguzi niliokuwa nawaongelea thread iliyopita, sijaona tatizo hapa, labda tatizo ni wewe kuamini kwamba huu ni upuuzi.
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Watu humu JF ni noumer! Siyo ajabu mkaanza kuwacalculetia IRR na NPV hao wasichana...lol
   
 15. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wapange uone shughuli yake, unafikiri wanawake wawili mchezo?
  Mchague mmoja utakaeona anakufaa zaidi
   
 16. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha dharau bwana hujui wako vip?
   
 17. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  mh inaweza kuwa kimbembe huko mbeleni et
   
 18. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,606
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Hata hawajakukubali unaomba ushauri? Nenda wakukubali kwanza!
   
 19. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hizo ni tamaa na mara nyingi tegemea kuwakosa wote hasa pale wanapokuja kufahamiana!
   
 20. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  aah aaah, ukiingia ndiyo utajua utatoka vipi eti, juhudi zishaanza kwa wote
   
Loading...