Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ambonyi, Nimepokea malalamiko toka kwa mke wa jamaa yangu kuwa leo hii ni wiki tangu ameamua kurudi kwao na kutengana rasmi na mumewe. Sababu aliyotoa kubwa ni ulevi wa Mara kwa Mara wa jamaa na...
5 Reactions
110 Replies
8K Views
Members mimi huwa najiuliza kwanini wanawake waliofanikiwa kimaisha kwamaana wana pesa za kuendesha maisha yao, wanawake maarufu(aidha kisiasa,kimitindo au kisanaaa) huwa idadi kubwa hawaolewi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana wakati narudi Home nlikuwa na shabani jamaa yangu kwenye gari akawa ananipa story kuwa ofisini kwao wameajiri receptionist mpya. anasema tayari anataka "kumla" ngoja asimulie kisa chenyewe...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Hii ni kwa wale watakao-declare interest kuwa aliwahi/waliwahi ama bado wana mchezo wa kujichua au kupiga punyeto (maana najua kuwa wengi wetu ambao wamewahi kufanya haka kamchezo wanaona sana...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Sasa wewe endelea kuimba wimbo wa hainaga ushemeji. Na mhusika naye atakujibu hainaga ushemeji kwa style hii. Umepata nini sasa? Heshimu wake za wenzio ukishindwa nenda kajikimu kwa namna nyingine.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu mambo vipi kuna jamaa yangu alikutana na duu leo anakaa kitaani kwetu, akamuita wakawa wanaongea baada ya hapo jamaa yangu akampa hela sh: 50,000/= atumie kwa matumizi yake binafsi yule...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo...
2 Reactions
163 Replies
23K Views
Mwanzoni ulikuwa single, baadaye ukafunga ndoa na mwenzi wako... Hivi katika ofisi au popote pale, ile hali ya kujichanganya na ambao hawajaoa/olewa inafika mahali unakuwa mbali nao, au unajiona...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kusema ukweli nionapo binti aliyejazia mzigo yaani makalio huwa napata shida na yule jamaa aliyenyimwa kofia kichwani anaanza kupiga mikele. Ndipo nilipogundua ugonjwa wangu kuwa ni wa maeneo...
2 Reactions
211 Replies
86K Views
Kwenu wanawake wa MMU, habarii.. Nauliza, hivi zile sifa za mrefu, mweusi flani, nk hamtaki tena. Naona siku hizi kigezo kikuu ni 35+ Kibaya zaidi eti awe single, asiwe na mtoto zaidi ya1...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Nilikua kwenye mahusiano yasiyo rasmi na mwanaume mmoja ambaye sasa namuona kama mume mtarajiwa, ila kabla mahusiano yetu hayajakomaa niligundua anamfuatilia binti mmoja ambaye wanakaa karibu...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Wajameni, hili swala sio dogo. Mpenzi wangu, ambae nina malengo ya kufika mbali naye, ana kaka yake ambae yapata mwezi tangu anitambulishe kwake, Cha kushangaza, siku chache baada ya...
0 Reactions
159 Replies
33K Views
Hi, Am 18 yrs now, nina rafiki yangu mtanzania from Canada, we use to chat with kualezana our strengths and weaknesses. Alikuwa hawezi kukaa 5 mins bila kuchat na mimi via Whatsapp. Ilifika...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Kuna jamaa angu ni mkurya mwenzangu,juzi kati kapeleka mchumba kumtambulisha kwao huko musoma na huyu mchumba ni hawa tunaokutana nao huku mijini,kwa maelezo ya jamaa,siku hyo wamefika kwao huko...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
habarini wakuu Hawa wadada wasikuhizi ni hatari sana,kwao mizinga imekua kama fashion,ukikaa vibaya utaliwa hela zako na papuchi usipewe,hivyo basi jali muda bwa sheee nakumbuka nilikutana na...
8 Reactions
63 Replies
9K Views
A salaam wana MMU wote. Dah ama kweli leo nimeamini kuwa mapenzi ya kweli yaliondoka na wakoloni, msichana niliempenda kwa moyo wangu wote, kumjari kumheshimu pamoja na kumthamini leo hii anaamua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kaniloweka atanitoa kesho...[emoji13] [emoji13]
1 Reactions
17 Replies
51K Views
Habari zenu humu wapendwa naamimini mko poa kabisa, Mimi kuna rafiki yangu hapa ana jambo nimeshamshauri nimechoka, iko hivi; Miezi 5 ilopita alipata mpenzi wakawa wanapendana sana, week 3...
7 Reactions
190 Replies
12K Views
Alipofungwa miaka 27, alikuwa tayari na akawasamehe waliomfunga miaka yote. Mke wake, winne/winnie alihangaika kwa kuendesha harakati za kisiasa kumnasua mumewe gerezani na kupigania uhuru wa mtu...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari zenu humu ndani, Mimi mwenzenu ninatoka na mume wa mtu ndo mbaba wangu na ananiweka mjini mwaka sasa, kuna kipindi cha nyuma tulienda zetu huko sehemu ya mbali kidogo kubadilisha hali ya...
8 Reactions
184 Replies
15K Views
Back
Top Bottom