Mapenzi ya kweli yamebaki kuwa story.

Mapenzi ya kweli yamebaki kuwa story.

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
A salaam wana MMU wote. Dah ama kweli leo nimeamini kuwa mapenzi ya kweli yaliondoka na wakoloni, msichana niliempenda kwa moyo wangu wote, kumjari kumheshimu pamoja na kumthamini leo hii anaamua kunisaliti mchana kweupe?. Nashindwa kuamini ila wasichana wa siku hizi mnatakiwa kubadilika.Vinginevyo mtatuua kwa mawazo. Maisha yalivyo kwa sasa jumlisha mpenzi pasua kichwa unaweza kujikuta unaongea pekee yako njiani. MUNGU nipe ujasiri wa kuyashinda haya Mapito.
 
pole sana ila kusamehe kupo au tuungane kudai talaka ziwe na expire date/mwisho wa matumizi
 
dah mapenzi pasua kichwa usiyape nafasi usawa huu demu akikuzingua unampiga chini moja kwa moja hakuna kurudi nyuma wako wengi sana hawa viumbe atapatikana tu wa kutuliza mtima wako
 
Mkuu jikaze tuu maana hamna namna or else watakuita mwanaume wa Dar saasaivi
 
Ulivyo andika kijana kama mabas ya mwendo kazi andika iyo story vizuri tukuelewe haaaaa nyooo1234#[emoji108] [emoji126]
 
Polee saana Mkuu,hili suala lisikie tu kwa mtu
 
A salaam wana MMU wote. Dah ama kweli leo nimeamini kuwa mapenzi ya kweli yaliondoka na wakoloni, msichana niliempenda kwa moyo wangu wote, kumjari kumheshimu pamoja na kumthamini leo hii anaamua kunisaliti mchana kweupe?. Nashindwa kuamini ila wasichana wa siku hizi mnatakiwa kubadilika.Vinginevyo mtatuua kwa mawazo. Maisha yalivyo kwa sasa jumlisha mpenzi pasua kichwa unaweza kujikuta unaongea pekee yako njiani. MUNGU nipe ujasiri wa kuyashinda haya Mapito.
Tafta mchumba umu jf ubadili ladha
 
Zingatia kilichomfanya akusaliti ujirekebishe kabla ujaanza mahusiano mengine"
 
Mi alinisaliti mchaga wa mashati nkaumia sana.ila maumivu yalipoisha nilianza kutembeza kama cna timamu.yani mdogo wake,dada yake,rafiki yake adi akaomba poo.hawa viumbe usiwapende kupitiliza.
 
Pole sana.... hapo nyanyuka pangusa makalio na uanze upya. Sio mwisho wa dunia..and she's not the only fish in the sea.
 
Wewe uliona mwanamke wako mwenzio alikuwa kachumbari kila ajae aionje. [emoji87] [emoji12]
 
Pole sana.... hapo nyanyuka pangusa makalio na uanze upya. Sio mwisho wa dunia..and she's not the only fish in the sea.
Asant kwa ushaur wako
 
Tayari yameshakukuta! Uzuri Yamekukuta mwisho wa mwezi flani hivi, achana na mademu, oa mke kabisa! Ukiendekeza kupenda "wake " wa wenzio utakuja kushindwa na kujinyonga
 
Mapenzi ya kweli yapo... Hujioni hapo wewe mwenyewe ulipenda kweli?
Sema tu you didn't get the love back kwa same weight
 
Back
Top Bottom