Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ebu dada zetu badilikeni bana,, life ngumu mbon tunakomoana vizinga vya ajabu kila time,, ukitoka tu utasikia baby usisahau kuniletea zawadi.
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Ukijaribu kuchunguza chanzo cha ugomvi katika ndoa nyingi kipo kwenye uaminifu. Miaka hii sio ajabu ndoa ya siku mbili kuvunjika, wengi tunaishangaa ndoa ikidumu miaka mingi huku upendo kati yao...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Naogopa sana kupata ugonjwa wa UKIMWI,nazidi kumwomba mola anilinde na hilo jinamizi. Sasa nataka kufanya maamuzi magumu ya kuvuta jiko lilotulia lenye sifa zote za kitanzania na pia mwenye...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Marufuku kutoa mapovu hapa. @seneta_wa_mtwiz shared @kapanga_imma's post with you. See it at
0 Reactions
1 Replies
844 Views
Habari za Jumatatu wa wakuu, poleni kwa pilikapilika za sikukuu. Nisiwachoshe kwa maneno mengi, nimekuja kwenu kuomba ushauri, mimi naamini kwenye wengi pana mengi, hivyo hapa JF kuna wengi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hello ladies n Gents wazima wote!? Motto ni kuakikisha tunakua ma don zaidi ili our ladies wawe madiva zaidi.... Siku chache zilizopita nilikutana na kasumba ya mapenzi ambayo ama kwa akika mtu...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
kwa mawazo yangu ya harahara nilijua sina kaka,haiwezekani braza anipe pesa aseme shemeji yako asijue.Niliwataarifu wana ndugu pamoja na wazazi ili walijue hilo sio kwa nia mbaya ila kwa bahati...
3 Reactions
91 Replies
9K Views
Id el hajj wanajukwaa. Baada ya salam, niende moja kwa moja kwenye mada kuwa nifanyeje nipendwe kama zamani maana naona kuoa imekuwa namna ya kukosa upendo kwa mke sababu ya mazoea, mademu wengi...
4 Reactions
96 Replies
7K Views
Huwa nashindwa kuamini kama hili jambo ni kweli au la maana mara nyingi wanaume hubishana kuwa wanawake wa uswazi ni watundu sana katika sekta ya malavidavi toka ku care, mapishi, hata kitandanI...
3 Reactions
81 Replies
13K Views
Habari wanajamvi wa MMU, Hope sikukuu iko poa sana maana tuko salama na tunaendelea na mishe mbalimbali za kujenga taifa letu, kiukweli ni jambo la kushukuru ndugu zangu. Kama kichwa habari...
16 Reactions
72 Replies
6K Views
Miezi minne iliyopita nilishindwa uvumilivu wa kuishi "singo" nikaona bora nianze mikakati yakumchumbia binti ambaye nilionana nae Ilala Boma,hapa Dar.....cha ajabu baada ya mahusiano ya wiki...
4 Reactions
82 Replies
13K Views
Nawasalimu ndg wote ktk MMU. Moja kwa moja nijikite ktk mada hii. Kwa kipindi kirefu kumekuwa na utamaduni wa baadhi ya wenza (ke/me) kutoshirikishana juu ya umiliki wa mali zao na hii hutokana...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Hivi vivulana turned adult, ambavyo vimeanza kujitegemea na kushika pesa, mishahara ya laki saba ndio vinachangia kushusha hadhi ya wanaume wa Dar. Vimezidi kulialia kwa ishu ndogo ambazo mwanaume...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hbr ya mapumziko ndugu zangu Naomba kushare na nyie kile kinachonitokea kuhusu mahusiano yangu. Ikumbukwe nilileta uzi hapa juu ya wazazi wa binti kuniomba mahari kubwa ili nimuoe binti yao. Sasa...
0 Reactions
5 Replies
867 Views
Aisee ,mwenzenu siwafichi hawa mademu wa kizungu sijui kwanini hawanivutii. Kila niendapo kubarizi nawaona na vichupi vyao,wengine vinaingia tukati twa mata..k.o twao lakini hata kusisimka...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habar zenu wana Jukwaa la MMU. Naomba niwaletee huu mkasa wa kaka yangu ambao unaendelea katka ndoa yake. Miaka minne iliyopita alioa mwanamke wa kigoma wakabahatika kuzaa mtoto mmoja ila...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Post deleted by author!
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Wakuu habarini za masiku, Hebu kwa waliooa au kuolewa kwenye familia za matajiri hivi kuna changamoto gani huko. Nimeuliza hivi maana kuna bwana mdogo naona anataka kutangaza ndoa lakini uwiano...
5 Reactions
158 Replies
19K Views
Mwalimu Osca wa shule ya msingi Namanyere mkoani Rukwa amehukumiwa jela miezi 6 baada ya kuitelekeza familia yake na kuhamia kwa kimada, akitoa hukumu mheshimiwa hakimu alimwambia mkosaji akitoka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom