Huba la mtoto wa kitanga

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
39,981
96,231
Kaniloweka atanitoa kesho...
1466359295083.jpg
 
Tanga huwezi lowesha kwenye pipa km huyo jamaa.... Wala hatuko hivyo kabisa.. Yaani unabebwa mgongoni wakati wa kupelekwa bafuni kuoga. Ukifika huko unaogeshwa na maji ya uvuguvugu yaliyo ungwa na viungo kadhaa km hiriki huku umekaa kenye kigoda bafuni.
Unaogeshwa huku unabembelezwa tartibuuuu... Mara mtoto anakupa mambo ya chura ananesanesa...Usipokuwa makini wazungu wa meli haoo..wanaruka ruka..karibuni Tanga mpate raha na radha ya mapenzi...
 
Hii thread haihusu mapenzi, mbona umeileta huku akati kuna jukwaa la vichekesho? #Mtafuta KiKi
 
Back
Top Bottom