Ana nia ya kweli katika mahusiano yetu?

Ana nia ya kweli katika mahusiano yetu?

fettydia

Senior Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
116
Reaction score
81
Nilikua kwenye mahusiano yasiyo rasmi na mwanaume mmoja ambaye sasa namuona kama mume mtarajiwa, ila kabla mahusiano yetu hayajakomaa niligundua anamfuatilia binti mmoja ambaye wanakaa karibu lakini baada ya kumuuliza alikubali na kusema alipitiwa tu ananipenda mimi.

Alimpigia simu huyo binti na kumwambia ananipenda Mimi na amsamehe kwa kumpotezea muda na Mimi binafsi nampenda sana huyu kaka na Jana tu ametoka kumwambia mama yake kuwa yupo kwenye mahusiano na Mimi na tulivyopanga na yeye mwakani tunafunga ndoa.

Naombeni ushauri wanajamvi kwani huwa naingiwa na hofu namuomba sana Mungu anisaidie nifunge ndoa na nampenda sana mwenzangu huyu
 
Huyo anakupenda wewe ila kuchepuka anaongeza chachu ya mapenzi tu tunaita "udambuudambu" nawe onyesha unampenda usionyeshe hofu kwake unapopendwa shikilia dada Pete hiyo kidoleni au unataka pishana na Gari la mshahara
 
Asante namuomba sana Mungu awe upande wangu[emoji120]
 
Huyo jamaa huenda anatumia njia ya kukudanganya kwa kumpigia simu yule demu ambaye anamfuatilia.nakushauri umfuatilie kwa ukaribu ila kwa usiri sana ila asije kushtukia mchezo.
 
Mwambie lete posa sasa kama kweli
aanze na barua....ndo utajua
 
Hizo fikra has zinatoka wapi sasa! !amini unapendwa fetty ukianza kuweka negative perceptions hata asipokujibu text unahisi hakupendi
 
Huyo jamaa huenda anatumia njia ya kukudanganya kwa kumpigia simu yule demu ambaye anamfuatilia.nakushauri umfuatilie kwa ukaribu ila kwa usiri sana ila asije kushtukia mchezo.
Huyo dada ninafanya nae kazi mie na hata kugundua mahusiano yao ilikua kaniazima cm na sahv anajua mahusiano yetu sema mdada anaonekana ana hisia na mwanaume wangu sababu uwa ana mtext na kumpgia na mwanaume wangu uwa ananiambia
 
usiseme mwanaume wako
ni wako kivipi?
 
Hizo fikra has zinatoka wapi sasa! !amini unapendwa fetty ukianza kuweka negative perceptions hata asipokujibu text unahisi hakupendi
Asante najitahidi mno niache hizo negative perceptions
 
Huyo dada ninafanya nae kazi mie na hata kugundua mahusiano yao ilikua kaniazima cm na sahv anajua mahusiano yetu sema mdada anaonekana ana hisia na mwanaume wangu sababu uwa ana mtext na kumpgia na mwanaume wangu uwa ananiambia
Bac kama ni hivyo nahisi ataacha ila mchunguze zaidi huyo mwenzi wako,si unajua watu hawa aminiki cku hizi.
 
Ache wenge mamiloo we mpimie kwanza Huyo mshkaj kijanja kwa siri ila chonde hasije jua unamchunguza Mara nyingi mwanaume akijua anachunguzwa hujilinda sana so Fanya kumpenda tyu japo unampimia chin kwa chin ukijiridhisha na utafiti fungeni pingu but nenda taratibu usisanuke pia mpende sana kama anakupenda utakuja jua tyu upendo haujifichagi
 
Nilikua kwenye mahusiano yasiyo rasmi na mwanaume mmoja ambaye sasa namuona kama mume mtarajiwa, ila kabla mahusiano yetu hayajakomaa niligundua anamfuatilia binti mmoja ambaye wanakaa karibu lakini baada ya kumuuliza alikubali na kusema alipitiwa tu ananipenda mimi.

Alimpigia simu huyo binti na kumwambia ananipenda Mimi na amsamehe kwa kumpotezea muda na Mimi binafsi nampenda sana huyu kaka na Jana tu ametoka kumwambia mama yake kuwa yupo kwenye mahusiano na Mimi na tulivyopanga na yeye mwakani tunafunga ndoa.

Naombeni ushauri wanajamvi kwani huwa naingiwa na hofu namuomba sana Mungu anisaidie nifunge ndoa na nampenda sana mwenzangu huyu
Endelea kumuomba Mungu hili hitaji litimie...! Usimchunguze sana bata hutakaa ule nyama yake....
 
Mi sioni la kukushauli hapo,,,,,Basi achana nae maana ni mchepukaji, ,,, kama utaona sawa,,,
 
Back
Top Bottom