Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,113
Ambonyi,
Nimepokea malalamiko toka kwa mke wa jamaa yangu kuwa leo hii ni wiki tangu ameamua kurudi kwao na kutengana rasmi na mumewe.
Sababu aliyotoa kubwa ni ulevi wa Mara kwa Mara wa jamaa na akirudi anaweza akamuwashia moto mwanamke na hivyo binti amechoka kugombezwa, kutukanwa, kupigwa na kutishiwa. Lakini mwanamke anakiri kuwa jamaa hana michepuko wala hajawahi kulala nje.
Huyu mwanamke arudi au aliunge? Na je tatizo la urahibu wa pombe linatatulika? Maana jamaa bado anampenda mke wake na anamhitaji sana tu. Na mwanamke ni kama anamhitaji uhakika wa hali ya juu ili arudi.
Taratibu zikoje hapo?
Nimeshindwa kumshauri naombeni msaada.