Kaka wa mpenzi wangu ni shoga, nae ananitaka

Kaka wa mpenzi wangu ni shoga, nae ananitaka

tabibumtaratibu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2011
Posts
2,414
Reaction score
1,216
Wajameni, hili swala sio dogo.

Mpenzi wangu, ambae nina malengo ya kufika mbali naye, ana kaka yake ambae yapata mwezi tangu anitambulishe kwake, Cha kushangaza, siku chache baada ya kutambulishwa kwake akaanza kunisumbua, na kunieleza ukweli kwamba yeye ni shoga na anataka eti niwe nae.

Akanitishia eti nikikataa ataniaribia kwa mdogo wake.

Mimi nilimpotezea, ila naona siku hizi ndo amezidisha mashambulizi.

Sielewi
 
Anataka kuhakiki kama dada yake atapata huduma stahiki!!

Mulugo atakumbukw daima kwa kushusha kiwango cha ufikiri kwa vijana nchi hii
 
Mwambie mpenzi wako maana ndio silaha aliyo nayo si alisema atakuharibia kwa mdogo wake? Mpe taarifa mapema na kama una ushahidi wa meseji mwonyeshe.
 
Back
Top Bottom