Amekata mawasiliano ghafla, inaniuma sana

Amekata mawasiliano ghafla, inaniuma sana

mushiheriel

Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
73
Reaction score
24
Hi,

Am 18 yrs now, nina rafiki yangu mtanzania from Canada, we use to chat with kualezana our strengths and weaknesses. Alikuwa hawezi kukaa 5 mins bila kuchat na mimi via Whatsapp.

Ilifika state ambayo ilikuw tukielekea kwenye mahusiano, coz alikuwa akinitumia nyimbo za Justin Bieber ambazo zilikuwa zikiexpress feelings zake kwangu, lakini now no message no anything.

Wakati before nilikuwa nikimwambia aniimbie alikuwa akiniimbia hadi naridhika moyoni. Kinachoniuma zaidi ni pale alipokuwa akitumia muda wake mwingi kuchat na mimi lakini now even salamu hakuna.

HOME OF GREAT THINKERS NISAIDIENI NIFANYE NINI
 
Dah Ni hataree,but icjekuw nlikuw open xana, coz dah I know a-z of her n she nows a-w of mine
May b u do, may b u know nothing real abt them, as ungekuwa unajua ingekusaidia ku-trace back to her, some are good actors,
Nway pole kwa matumaini ya papuch yaliyopotea ghafla
 
Mnaimbiana nyimbo za justin ?
Ndio umeumia tayari hapo sasa maumivu yako ni kukosa nyimbo so ununue CD au download?
Co hvy bwna harakati, Ni mengi xna tumefany ndugu yang
Imagine huku tz n mchana kule Canada n ucku time difference 7hrs ila ucku alikuw akichelew kulal ili acht na mm but now Ni story tuu man
 
May b u do, may b u know nothing real abt them, as ungekuwa unajua ingekusaidia ku-trace back to her, some are good actors,
Nway pole kwa matumaini ya papuch yaliyopotea ghafla
Najua boy pia n mtto wa mwanasiasa maarufu xana chadema ila ashatundikag daluga
 
Back
Top Bottom