BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Wakuu mambo vipi kuna jamaa yangu alikutana na duu leo anakaa kitaani kwetu, akamuita wakawa wanaongea baada ya hapo jamaa yangu akampa hela sh: 50,000/= atumie kwa matumizi yake binafsi yule dada akapokea na kuondoka, nikamuuliza jamaa yangu akasema ndio ya kuwapata je, jamaa yangu hawezi ingizwa mitini hapo.