Mimi ni kijana nilikuwa nasoma nje ya East Africa na nilikutana na huyu mwanamke katika mazingira ya kusaidiana maana mi nilikuwa mwenyeji katika mji huo na alikuja katika eneo karibu nilikokuwa...
Wengi tunajua kuwa masomo ya sekondari vijana wengi huanza kupevuka akili hapo kuna jamaa mmoja anaitwa STUNTER kipindi anasoma kidato cha kwanza shule moja hivi st. kayumba alimpenda binti mmoja...
Wakubwa zangu shikamoni,
Niliamua kutulia na msichana mmoja tu nikaamua nitulie nae huyo, kiukweli nampenda sana mpaka nimeamua kuwa mwaminifu kwake. Jana alinielekeza kuwa nimekuwa muwazi sana...
Nawachukia sana wanawake waigizaji kwenye mapenzi ,kitandani uniigizie ,hata maisha ya kawaida pia uniigizie?
Eti oooh!! Mi sipendi pesa zako na hukuti hata siku moja anakuomba hata mia tano ya...
Habari kwenu wana JF
Hivi ukiwa umetulia zako unajisomea gazeti mara ikaingia text kwenye simu yako inasomeka "kuanzia leo mimi na wewe basi usinitafute"
Kwa mshangao unajibu kumwambia sababu ni...
Habari zenu WanaJF:
Ujumbe huu ni kwa rafiki yangu na wengine wenye tabia kama zake. Mtaniuliza kwanini nisimfuate nimwambie uso kwa uso, mwanamke yule anaongea akinisema na jinsi sina maneno...
Mabibi na mabwana wa JF salam!
Ni imani yangu kwamba mmekuwa na weekend njema na yenye utulivu nawapongeza sana na poleni kwa mliokumbwa na dhoruba za maisha kama mimi.Binafsi hii weekend haijawa...
Huyu dada namfahamu toka tukiwa sekondari, sema yeye tu alinizidi kidato kimoja, nilikuwa nampenda sana sema ndo hivyo alikuwa anajiona matawi ya juu sana nami of course nilikuwa matawi ya juu...
Kuamua kuchukua maamuzi ya kubadilisha wapenzi kila mara ili kushindana ex wako ni kujidharirisha tu. Mi naamini mwanamke ni kiumbe chenye staha kuliko mwanaume. Tafuta pesa kama habari ya mume...
Wanajamvi ushauri tafadhali,
Nilibrake na mtu miezi kadhaa uchungu niliokuwa nao ulikuwa mkubwa sana stuntman kuwa na uhusiano wowote. Mtu aliniacha yeye. Nilikuwa nalia hasubuhi na usku yan...
Nimekuwa Namsifia mpaka wife ananistukia
Anasema kuwa mimi na mdogo wake tunaenda na kitabia. Kila wakati natazama picha zake japo mawasiliano yetu yako limited kwenye whatsapp...
Wadau tuache masikhara nawataahadharisha mapema.
Hivi ikitokea mpenzi wako wa mda mrefu au mkeo amekusaliti na kuomba umsamehe harudii tena. Je utaweza kumsamehe?
Je sababu ya kumsamehe itakuwa...
Katika safari zetu za mahusiano tunapita katika hatua mbalimbali zikiwa kama changamoto kabla ya kuwapata wale wa kuishi nao milele/mke/mme.
Wako waliotamani kuoa/kuolewa na...
Habari zenu wakuu wa MMU. Ni matumaini yangu kuwa mko poa wote.
Lengo kubwa la kuanzisha huu Uzi ni kumuomba msamaha ex gf wangu tulieachana nae mwaka 2014.
Sio kwamba nataka turudiane bali ni...
ASALAAM WAKUU,
Ni hivi nina mchumba nipo nae mwaka wa tatu hu, tatizo kubwa ndio hilo yaani aibu kwangu haikatiki tangu nimtokee, athubutu kuongea nami live ila kwenye simu tu anaongea maneno...
I like this kind of reletionship, nimeshindwa kuachaa kwa kweli
Nilianza haka katabia nikiwa form 6, nilikuwa na demu waku ambaye alikuwa anarafiki yake wanasisoma nae. Nilijikuta nimemtongoza...
Habari wapendwa,
Nauliza hivi ni sehemu gani ambayo ukikaa na mpenzi wako mkiwa kitandani ambayo ukiiangalia unameza mate na unashukuru Mungu kwa kumjaalia mpenzi wako?
WHAT is going on?
There is a shockingly growing trend of African women donning hair, either from India or Brazil, sometimes synthetic – the final look, looks anything but African. The origin of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.