Leo naomba niwashukie kama mvua wakaka na wadada hasa wale wenye wanaume/wanawake wa ndoto zao. Ingawa mara nyingi hali imekuwa tofauti na mategemeo yao na kubaki kulala mitandaoni na kulaani bila...
Evelyn Salt- Nahisi ni mnene wastani, mweusi, muongeaji sana. Nahisi pia kitandani ni mtundu kweli kweli.
Valentina - Ni mweupe, mchaga, mpole/si muongeaji, kitandani si mtundu sana na ana aibu...
Kwa story fupi,
Nina rafiki yangu anatabia ya umalaya usiokuwa na kikomo, alibaatika kupata mwanamke wa kwanza na kuzaa nae mtoto mmoja. Akaishi nae kwa muda mfupi tu lakini akumuoa baada ya hapo...
Yaani inashangaza kweli lijitu limeoa lenyewe kwa hiari yake lijanamke libaya, kisha linakuja kuvizia wake zetu wazuri kwanini lakini.
Si umesema mwenyewe mke wako sababu ya kumuoa ni tabia sasa...
Poleni sana akina Dada maana nyie ndo special engines za ndoa ukweli usiopingika. Kwenye theories za ndoa kuna uhusiano mkubwa sana wa uchumi wa muoaji(husband). Uchumi huu wa scarcity kali sana...
Kwema wakuu JF
Nna mpenzi wangu na tunapendana sana except linapokuja swala la kuzama uvinza hapo ndo huwa hatuelewani Binafsi siwezi kabisa lakini Yeye anataka naombeni ushauri hapa
Mapenzi sio kupanua miguu tu, maana hata boda boda zinatanua kwenye foleni, mapenzi sio kuingiza tu kama voucher mapenzi ni sanaa jamani sio unakurupuka tu kisa umeona kwenye muvi jamaa ana lamba...
Hi! Everyone,
Ninaamini mmekuwa na siku njema kabisa.
Siku nyingine tena nawakaribisha kwenye interview ya nguvu, huwa tunajadili mambo ya kijamii na yalioyopo sana..
Nadhani mada inasomeka...
No wife, no kids, no job and still live in my mother place.
Wakuu, nimemaliza chuo four years previously baada ya kusoma sana kwa shida kutokana na kutokuwa na wa kunilipia ada. Toka nimemalize...
nikimwangalia vizuri girlfriend wangu kafanana sura na mmoja wa dada zangu,hata tukiongozana watu husema nakuona uko na sister hapo,hata kwenye kumkamua huwa namuonea aibu nahisi kama nafanya...
Una ' Ugomvi ' mkubwa na wa muda mrefu na Mke wako na sababu kubwa iliyopelekea huo ' mtafaruku ' wenu mlionao ni kitendo cha yeye ' kukunyima ' tendo la ndoa ( unyumba ) hivyo ukatafakari na...
Hbr za jioni wadau!
Kutokana na bandiko langu la tarehe 25.09.2016 la kutafuta mdada wa kisabato kwa ajili ya baadaye kuwa mke,
Nilibahatika kupata pm moja ya dada mmoja , tulipeana mawasiliano...
Wanaume wa Dar mzuka?
Wa Mikoani hamjambo?
Kumekuwa na maneno mengi kutoka kwa wadau mbali mbali wakiume pamoja na kike, hasa wakiwalenga wanaume wa Dar kuwa wana upungufu wa nguvu za kiume...
Nimesikia sana hii concept ya love on first sight lakini kihualisia haipo, huwezi kumpenda mtu unapomuona mara ya kwanza zile huwa ni tamaa.Love Is Learned.
Wakuu, habarini.
Nasikia dawa ya kujua kwamba mpenzi wako wa kike ametoka kukusaliti imeshapatikana, unajua unafanyaje? Ukiona una wasiwasi nae, unamvutisha ugolo, ile anaanza kupiga chafya...
Mimi ni kijana 27 years of age. Turning 28 next year January 15th. Ni mtu na kazi yangu na nina elimu ya Degree. Nimezaliwa na kusoma Kenya na kazi pia nafanyia huku. Sasa nataka kuoa msichana wa...
Kwanza niwape pole wadada kwa shida wanazokutana nazo kutoka kwa wanaume.Huyu dada alikuwa anatembea na dereva mmoja muendesha trekta ambae ameoa sasa huyu dada akapata mtu wa size yake yule mzee...
Mimi nilishawahi kuweka tangazo humu la kutafuta mke lakini sijampata aliyekua na vigezo.
Mimi nahitaji mwanamke wa kuoa, umri wangu 26yrs, muislam elimu yangu ni nina bachelor degree.
Mwanamke...
Kuna kitu kinafafahamika kama pembetatu ya upendo, mwanasaikolojia mmoja wa Kijerumani Robert sternberg, baada ya kutafakari sana, alibaini kwamba, kupenda au kupendana hakuwezi kuwa ngazi sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.