mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,323
- 56,062
nikimwangalia vizuri girlfriend wangu kafanana sura na mmoja wa dada zangu,hata tukiongozana watu husema nakuona uko na sister hapo,hata kwenye kumkamua huwa namuonea aibu nahisi kama nafanya dhambi ya kutembea na dadangu,yeye ni kabila tofauti kabisa na sisi maana niliogopa nikawa napeleleza asili yao kuhofia labda mzee alichepuka ,hili swala linanikosesha amani japo nampenda