Dawa ya usaliti

Dawa ya usaliti

kwetumasoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
866
Reaction score
518
Wakuu, habarini.

Nasikia dawa ya kujua kwamba mpenzi wako wa kike ametoka kukusaliti imeshapatikana, unajua unafanyaje? Ukiona una wasiwasi nae, unamvutisha ugolo, ile anaanza kupiga chafya mfululizo zinaanza kushuka zenyewe.

Nawasilisha!
 
Umeshakunywa supu? Kanunue Ugolo mi naenda kumpa sasa hivi
 
Au unatafuta soko la ugolo!
jidanganye tu na hizo zama za kale
 
Ya toka enzi hizo,ila ya nn ujipe presha fanya yko KE siyo wa kumchunguza sana km unataka mahusiano/ndoa yako yadumu/idumuk km wewe ulimtaman ukaanzisha naye mahusiano unadhan hakuna wanaomtamani akiwa ndan ya mahusiano,fikiria halafu achana navyo mkuu
 
Kwahyo haogi uko alikotoka na condom zimewekwa kwa ajili gan? Unatuletea hbr za mwaka 47 enzi za mababu
 
Wakuu, habarini.

Nasikia dawa ya kujua kwamba mpenzi wako wa kike ametoka kukusaliti imeshapatikana, unajua unafanyaje? Ukiona una wasiwasi nae, unamvutisha ugolo, ile anaanza kupiga chafya mfululizo zinaanza kushuka zenyewe.

Nawasilisha!
Dah trick nzur kama kweli itabidi niitumie
 
Back
Top Bottom