Kwa aliyetari kua Mke anahitajika

Kwa aliyetari kua Mke anahitajika

solanum

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
203
Reaction score
99
Mimi nilishawahi kuweka tangazo humu la kutafuta mke lakini sijampata aliyekua na vigezo.

Mimi nahitaji mwanamke wa kuoa, umri wangu 26yrs, muislam elimu yangu ni nina bachelor degree.

Mwanamke ninayemuhitaji awe na sifa zifuatazo

Awe muislam

Awe ameishia angalau form four na kuendelea

Awe na umri wa miaka kati ya 18-30

Awe na upendo wa kweli

Awe na uwezo wa kusimamia miradi mbalimbali ya kimaendeleo kama atakua hana kazi

Awe na mapenzi ya kweli

Asiwe na mtoto

Kabila lolote

Kwa aliyeserious tu anitafute kupitia 0758 106 501
 
God akufanyie wepesi katika hili ombi lako mkuu. Inshaallah

-Kaveli-
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom