Nsumba ntale tz
JF-Expert Member
- Apr 19, 2016
- 713
- 762
Kwanza niwape pole wadada kwa shida wanazokutana nazo kutoka kwa wanaume.Huyu dada alikuwa anatembea na dereva mmoja muendesha trekta ambae ameoa sasa huyu dada akapata mtu wa size yake yule mzee kugundua ndo akamkodia watu wakambaka na kumrekodi.