Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukiona umekaa na mpenz wako kwa miezi sita hajakutambulisha kwa ndugu zake au hata kwa rafiki yake mmoja,jua hapo haupendwi .. Sepaaaaaaa kimya kimya....
2 Reactions
11 Replies
1K Views
AINA 8 ZA WANAWAKE HATARI 1 MUKHTALIYA - Huyu ni mwanamke mwenye tabia ya kujivua yaani mara kwa mara hupenda kuomba talaka hata kosa si kosa yeye keshataka aachike tu, huyu hafai hasa ukimpenda...
8 Reactions
97 Replies
15K Views
Mdau ni jambo gani la kijinga ambalo umeshawahi kununiwa na mke wako au mpenzi wako! Mimi nmenuniwa leo kisa sijamsifia amependeza as amevaa earing (heleni) mpya!!!
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Kuna tabia fulani kwa baadhi ya wanawake mnapokua faragha kukimbilia kuvua nguo, badala ya kusubiri kuvuliwa na mpenzi wake. Jamani zile steps za kuvuana nguo zina raha yake na msisimko wa pekee...
23 Reactions
231 Replies
31K Views
Nikiona mitongozo ya siku hizi ilivyo rahisi naumia sana..!nakumbuka mi ilinichukua mwezi mzima just kumwambia demu nakupenda, ilikuwa kila nikimpanga basi tukifika eneo la mtongozo neno nakupenda...
0 Reactions
21 Replies
16K Views
habari wadau!katika mikoa takriban saba inaongoza mimba za utotoni pia watoto kuzaliwa nje ya ndoa je nini tatizo mpaka watoto kuzaa utotoni??kurukia mapenzi au kudanganywa naomba majibu haya apo...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Watu wazuri wanatesa nyie...Wanaringa... Kwa sababu wanajua hata akikupoteza wewe leo kesho anakamata Danga jipyaaa na ngoma inasonga...Ila hawa wenye sura chachu wana heshima maana wanajua...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna rafiki yangu yule niliesema aliniachia mtoto akaenda kwa mchepuko kama mnakumbuka, ni mama wa nyumbani ila ana maisha amaizing sana maana hafanyi kazi yoyote ila cha ajabu hata boxer za mume...
8 Reactions
328 Replies
23K Views
Mwanaume wa ukweli hategwi na Shape wala lips, anategwa na real love na appreciation even for little things. Mwanamke wa maana hategwi na zawadi, ice cream, jeans mpya, wala vipedo, au lifti ya...
7 Reactions
22 Replies
4K Views
Unapata girlfriend/mchumba anakupenda na kukujali kwenye kila hali, anakupenda kupitiliza mpaka unajiona mwenye bahati kuliko wengine, dada wa Watu anajiachia kwako akijua wewe ndo utakuwa wake wa...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama wewe unajiamini ni mrembo huna makuu zingatia sifa hizi -usiwe maneno mengi -usiwe mlevi wa kuchart -km unamagroup ya watsap hakikisha nakuwa member -Lazima uwe na mtoto (mmoja tu) na...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Inawezekana kweli msichana akaenda kumtembelea mchumba wake kwake(kwa mwanaume) halafu akatoka salama bila kugegedwa japo kwa kuonja (kimoja tu). Inawezekana kabisa wakati wa kwenda hakuna...
11 Reactions
49 Replies
7K Views
Katika uhusiano baina ya mume na mke hutokea mambo mbalimbali yanayoimarisha uhusiano baina yao au kuuharibu. Baadhi ya nyakati mwanaume hufanya baadhi ya mambo yanayomshusha thamani mbele ya...
2 Reactions
38 Replies
12K Views
Tangu mwaka 1980 wanawake hawajabadilisha maswali pindi wanapotongozwa. Swali la kwanza wanauliza "HIVI WANAWAKE WOOOTE HUJAWAONA MPAKA UJE KWANGU?" Swali la pili wanauliza "NITAAMINI VIPI...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Naombeni ushauri kwa hili Mimi ni mke nina miaka 27 nina mtoto 1 mwanaume nilizaa nae tulipanga tuoane bahati mbaya akatupa ujauzito mabinti wawili tena tulipishana miezi 2 tu. Tukawa...
0 Reactions
108 Replies
14K Views
Watu wengi tunapenda tufanyiwe vitu Fulani ambavyo hata siye wenyewe tungelikua na uwezo tusingeliweza kuwa fanyia hao tunao Waomba watufanyie, Tunaomba na kulaumu kwanini hatupewi Vitu ambavyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakaka acheni ujinga, ukitaka msichana wa peke yako mgharamie nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume zao. Usidanganyike hakuna mwanamke...
13 Reactions
72 Replies
9K Views
Habari zenu wana, Nina mahusiano yapata miezi miwili (2) huyu mpenzi wangu nampenda sana, tatizo nikimtumiaga mesage huwa hajibu, hukimbilia kunipigia simu lakini hilo siyo tatizo kubwa sana...
3 Reactions
80 Replies
8K Views
Thamani ya uwanaume imeongezeka sana siku hizi. Moja ya sababu ni kuongezeka kwa idadi kubwa ya wanawake ambao walioachika, lakini sababu ya pili ni kuongezeka kwa idadi kubwa ya wanawake mitaani...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Naombeni ushauri. Kuna mtoto wangu ni kijana kwa sasa nimemfukuza aende kwa mama yake, kwa sababu huyo kijana kwanza alilelewa na bibi yake mzaa mama yake tangu akiwa mdogo...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Back
Top Bottom