Mrejesho! Natafuta mdada msabato

matobholo

Senior Member
Sep 21, 2016
106
100
Hbr za jioni wadau!

Kutokana na bandiko langu la tarehe 25.09.2016 la kutafuta mdada wa kisabato kwa ajili ya baadaye kuwa mke,
Nilibahatika kupata pm moja ya dada mmoja , tulipeana mawasiliano na hatimaye tukatambuana majina halisi.
Baadaye jioni ya jana nikampigia ili niongee naye vizuri na tuliongea kwa dakika chache ila nilimtega kwa mtego mdogo sana kwamba nipo Mkoani Simiyu kikazi, kumbuka alinambia yeye yupo dar es salaam hivyo akaomba kwamba nimtafute baadaye, mpk sasa ninavyoandika hajanitafuta pamoja na juhudi za kumtext kwamba nasubir awe free tuongee lkn kapotelea mitini.

Mwingine aliniambia yupo dsm lkn alikuwa na miaka 29 hivyo nikahadiliana naye sana mwishowe nikamwabia ananizidi umri hivyo hatutaweza kuwa pamoja.

Nilichogundua ni kwamba humu Jamii forum kuna wadada wengi matapeli, hawako serious na mahusiano .
Mim nipo Nyanda za juu kusini ila kwangu ni Morogoro, hivyo ikimweza Mdada moja kwa moja ni rahisi kukomaa ili umuoe hivyo mara nyingi lazima uchije ili wasio serious wajichuje wenyew.
Kwa sasa sipokei pm za Mdada yeyote na hawa niliochat nao, imetosha, nitaendelea kutafuta mdada physically na ikiwezekana wa dhehebu lolote nitaoa.

Nimeleta mrejesho hivi ili na wengine wanaotafuta waweze kujifunza.
Ahsante sana
 
DAAAAAAH....

Kumbe ma demu walioko humu ni MATAPELI...
Mie cjui nan TAPELI nani SIO..

Nafuata ushuhuda wa mshikaji hapo kuwa Wanawake waliopo humu MATAPELI...

Heheheheee (kicheko cha ki Engineer)

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Mkuu nitumie picha yako nikuweke mahali.. Kuna dada mmoja wa Kisabato ni mrembo hatari.. Mweupe pee.. Nilienda naye geto.. Kumchojoa nakuta bikra ikabidi nimuache amtunzie mumewe tu coz mie nilikuwa mpitaji.
Haha
Hiyo apo mkuu
 
Aliyeuza cheni bandia, amepewa hela bandia. Wewe umewadanganya uko Simiyu ndio maana na wewe wakakudanganya kwa kukupotezea. Acha uongo.
Kweli nilidanganya
Lkn angekuwa muolewaji basi asingejali kwamba wa Mkoani hasa Kwa watan zangu wasukuma kule shimiyu.
Ukweli angeupata baadaye
 
Mkuu nitumie picha yako nikuweke mahali.. Kuna dada mmoja wa Kisabato ni mrembo hatari.. Mweupe pee.. Nilienda naye geto.. Kumchojoa nakuta bikra ikabidi nimuache amtunzie mumewe tu coz mie nilikuwa mpitaji.
Ukiona manyoya...
 
teh comedy haitaisha duniani.
 
Back
Top Bottom