Natafuta mke wa kutoka Tanzania

Natafuta mke wa kutoka Tanzania

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
238
Reaction score
388
Mimi ni kijana 27 years of age. Turning 28 next year January 15th. Ni mtu na kazi yangu na nina elimu ya Degree. Nimezaliwa na kusoma Kenya na kazi pia nafanyia huku. Sasa nataka kuoa msichana wa KiTanzania. Awe na sifa zifuatazo:
1. Mrembo whether black or brown
2. Muislam au kama ni mkristo basi awe tayari kuslimu
3. Mwenye hofu ya Mungu
4.Mpenda amani
5. Mwenye mapenz ya dhati na anayejua kujali
6. Anayejua mapishi
7.Elimu at least form 4 au zaidi
8. Fluent English and Swahili
9. Smart in the head na awe na some sense of understanding.

Aliye na qualities hizo asisite kuni PM. Am serious. Asanteni.
 
UHUNYE UNATAKA MKE WA KUTOKA WAPI? HEBU NENDA MBELE ZA BWANA AKUPATIE WIFE
 
in box njoo
Mimi ni kijana 27 years of age. Turning 28 next year January 15th. Ni mtu na kazi yangu na nina elimu ya Degree. Nimezaliwa na kusoma Kenya na kazi pia nafanyia huku. Sasa nataka kuoa msichana wa KiTanzania. Awe na sifa zifuatazo:
1. Mrembo whether black or brown
2. Muislam au kama ni mkristo basi awe tayari kuslimu
3. Mwenye hofu ya Mungu
4.Mpenda amani
5. Mwenye mapenz ya dhati na anayejua kujali
6. Anayejua mapishi
7.Elimu at least form 4 au zaidi
8. Fluent English and Swahili
9. Smart in the head na awe na some sense of understanding.

Aliye na qualities hizo asisite kuni PM. Am serious. Asanteni.
 
Fanya ibada za usiku maana uislam haukuacha jambo na Insha Allah unampata aliye bora!
 
Back
Top Bottom