Love on first sight hamna

Love on first sight hamna

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,190
Reaction score
1,217
Nimesikia sana hii concept ya love on first sight lakini kihualisia haipo, huwezi kumpenda mtu unapomuona mara ya kwanza zile huwa ni tamaa.Love Is Learned.
 
Nmeskia sana hii Concept Ya love on first sight Lakini kihualisia haipo,huwezi kumpenda mtu unapomuona mara Ya kwanza zile huwa ni Tamaa..Love Is Learned!
Wewe jamaa umepatwa na JF bila shaka maana nionavyo una uraibu/uteja wa JF.

Tahadhari.
Utachuja mapema kwa siku nyuzi kibao.
 
Wewe jamaa umepatwa na JF bila shaka maana nionavyo una uraibu/uteja wa JF.

Tahadhari.
Utachuja mapema kwa siku nyuzi kibao.
..nashukuru kwa Prove kuwa haipo mkuu [emoji23]
 
..nashukuru kwa Prove kuwa haipo mkuu [emoji23]
..Alafu ndugu this is a Forum,sehemu Ya kuweka mawazo Ila kama wee unaona ni uwanja wa kutafuta sifa bhas wee ndo utakuwa umepatwa bottom Line
 
Back
Top Bottom