Wakuu, habarini.
Nasikia dawa ya kujua kwamba mpenzi wako wa kike ametoka kukusaliti imeshapatikana, unajua unafanyaje? Ukiona una wasiwasi nae, unamvutisha ugolo, ile anaanza kupiga chafya...
Mimi ni kijana 27 years of age. Turning 28 next year January 15th. Ni mtu na kazi yangu na nina elimu ya Degree. Nimezaliwa na kusoma Kenya na kazi pia nafanyia huku. Sasa nataka kuoa msichana wa...
Kwanza niwape pole wadada kwa shida wanazokutana nazo kutoka kwa wanaume.Huyu dada alikuwa anatembea na dereva mmoja muendesha trekta ambae ameoa sasa huyu dada akapata mtu wa size yake yule mzee...
Mimi nilishawahi kuweka tangazo humu la kutafuta mke lakini sijampata aliyekua na vigezo.
Mimi nahitaji mwanamke wa kuoa, umri wangu 26yrs, muislam elimu yangu ni nina bachelor degree.
Mwanamke...
Kuna kitu kinafafahamika kama pembetatu ya upendo, mwanasaikolojia mmoja wa Kijerumani Robert sternberg, baada ya kutafakari sana, alibaini kwamba, kupenda au kupendana hakuwezi kuwa ngazi sawa...
Chukua viazi mviringo, menya, katakata vipande vidogovidogo, chukua mafuta halisi ya alizeti then kaanga kwenye mafuta yaliyopata moto vya kutosha. chukua mayai ya kuku wa kienyeji tengeneza zege...
Habari wana jamvi,
Nimeshawahi kuja humu jamii forum na kuandika Post Yakutafuta mchumba, alhamdullillah nilimpata mdada mmoja ni mzuri tu kwa upande wangu kutokana na vigezo nilivyoviweka...
"Somebody's Me"
You, do you remember me
Like I remember you?
Do you spend your life
Going back in your mind to that time?
'Cause I, I walk the streets alone
I hate being on my own
And everyone...
Heshima zenu wakuu,
Naombeni mnishauri.
Nimepoteza kabisa hisia za kimapenzi, sijisikii kabisa kupenda ninaweza nikaingia katika mahusiano haitachukua muda upendo utapotea ghafla nitajikuta...
Wana JF, habari za jioni?
Kuna jambo kidogo limekuwa likinikwaza kwa muda fulani. Jambo lenyewe ni mabinti wanaobadilisha wanaume kama chupi, hivi wanajisikiaje kulala na wanaume tofauti...
Asilimia kubwa ya mabinti humu JF hawafai kuolewa,wana majibu mabaya mno yaani ukipata mke JF lazima awe bomu tu,kwenye thread tu wanavyoreply kama waliokata tamaa au wanakomoa wanaume.
Wachache...
Hivi hii wakuu inakaaje, binti kuhamia kwa mwanaume kabla ya kuolewa? Na nyie wanaume wezangu mnaonaje, mana dah mi naona maajabu na si kitu kizuri kwa heshima ya wote, waatu kuna baadhi...
Kila nikitizamana kwa kweli nasikitika sana, miaka ya nyuma hali haikuwa hivi. Unamkuta dada mzuri kabisa mzuri kweli kweli hajaolewa na yupo so desperate. kiasi kwamba yaani wanaume ndo wanatumia...
Nimekutana na dada mrembo, anaclaim kama na yeye amenipenda sana.Shida imejitokeza nilipoomba mzigo nikaambiwa lazime tukapime kwanza.
Nimekubali kwenda kupima afya zenu na tukakubaliana kwenda...
Kuweka siri kwenye mitandao ya kijamii ni sawa na kuvua nguo katikati ya soko mchana halafu unafumba macho ukiamini watu hawakuoni.
Acheni kuweka SIRI za ndani kwenu mtandaoni maana mitandao ni...
Yaani mmekaa kupiga piga tuu..kweli mnapendeza sana, Mungu kawaumba vizuri sana, miguu, chura usiseme..yaani mashallah, TATIZO...mnapenda pesa sana jamani punguzeni.
Yaani mkitamkiwa kidogo tu ...
Kama heading inavyojieleza,
Kwa kweli 'chagulaga' nitaikumbuka daima. Niko level kubwa kimaisha ya kuweza kufanya analysis ya vitu na matukio mbalimbali katika jamii lakini sababu zilizopelekea...
Habari wana-MMU.
Katika karne hii ndoa nyingi sana zimekua zikipumulia mashine. Si mwanaume, si mwanamke wote macho juu-juu mitaani utadhani vyura.
Hivi mnakosa nini kwenye ndoa zenu...
Yani kuna janga hili limekua janga haswa na limefanya hadi watu wanapiga hela kila kona Dar ukipita Dar ni matangazo ya tunauza dawa za kiume haaaa.. huku mkiwa na miadi na mwanaume unawaonea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.