Heri kubaki single, mtu akikuweka ndani, anakodolea macho wanawake wengine

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Kiukweli maisha ya mahusiano ya siku hizi yanatufanya kuwa na stress zaid kuliko amani, utakuta mtu anajidai anakupenda na kuahidi hivyo but akikuweka ndani tu anaanza kukodolea macho wanawake wengine.

Nimeona bora nibaki mwenyewe. Kwaherini wanaume wote .
 
kama hujui kupika,mamboz n.k yanini nikung'ang'anie...?
kwaheri na wewe
 
Kila jambo liko na chanzo chake naamini.Bila shaka uliwaza kabla ya kufanya uamuzi na ukaona inafaa kabisa kufanya hivyo japo si vyepesi ila inawezekana,karibu katika maisha ya ukapela.
 
Hahahhaa another episode for moniccca

Ukiona mwanamme anaanza kukodolea macho wengine tatizo la kwanza niwewe monicca....

labda umejisahau......
 
Ila kukodoa macho si dhambi kabisa ata ww ulikodolewa macho ndo ukawekwa ndan
 
Dada usiwaze saana ujue saa nyingne hyo ndoa au kukaa nae umemfosi huyo mwanaume pia dada mapenz utundu si ktk upish au kujiremba hata kitandani piaa...,pia jiulze kwann anakodolea macho wengne?kuwa mvumilivu ili ujue dawa ya kumteka mmeo ili aache kuangalia hao wengne
 
Kwamba kwa sasa upo single? asante kwa taarifa....hii post ata kwenye jukwaa la matangazo madogo madogo inafaa pia, usisahau kuwajulisha huko, cha msingi ukumbuke kuweka namba zako.

Kukudoa macho?.....hujui ata kama una pair 20 za viatu, bado utahitaji kufanya window shopping?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom