Wanaume wenye tabia hizi mnatuaibisha

Wanaume wenye tabia hizi mnatuaibisha

KING 360

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,002
Reaction score
5,202
Wakuu salaam kwenu,

Hizi ni miongoni mwa tabia ambazo zimekuwa zikiendekezwa na baadhi ya wanaume.

1: Mwanaume unahonga hela kwa mbwembwe zote hili uonekane kidume tena wengine utakuta binti kaomba 5000 yeye kwakujifanya kidume anatoa 50,000 alafu unakuja kulia lia humu JF tukusaidie nini sasa wakati unahonga ulikuwa unakenua tu meno.

2: Kujifanya unajali sana elimu hadi kumsomesha huyo unaemuita mchumba mwisho wa siku unajinyonga wakati kila siku tunasema humu mchumba hasomeshwi, kipindi unasomesha hata wazazi wako hawajui kuwa unasomesha ukishapigwa chini unaanza kulialia, wanawake wabaya sana kasomeshe yatima na ndugu zako, siku nikikuta unajinyonga kisa umeachwa nakutia bakora za kutosha kabla sijakutoa uko juu naona imekuwa too much sasa.

3: Ma password kwenye simu mpaka unayasahau unaficha nini ujanja wa kizamani huu password mpaka kwenye contact mtoto wa kiume.

4:Kila siku story zako ni wanawake tu hunaga story tofauti na hizo hunaga story za maendeleo.

5: Kila siku unaazima geto la mshkaji wako hili binti akija ajue mambo safi yaani geto lako unapita mwezi hujafagia unajivunia geto la mshkaji wako tafuta lako mtoto wa kiume maisha hayaendi hivyo.

Hizo ni baadhi tu kama una yako pia unaruhusiwa kuweka
 
namba 3 itagusa wengi saaaana!
michepuko mingi itakua ndio sababu
 
Hakika umenena wanahonga kwa hiari wanakuja kulialia hapa.
 
thanks God my men are of the five next type.
 
yaan majinga kweli, halafu ukiona mwanaume anahinga elfu 50 na badae anaanza kulia lia basi ujue huyo ni tatizo.
Na wanaosomesha wachumba jamani, hata mimi nahitaji wa kunisomesha M.A, ambae anajisikia awasiliane na mimi maana naona hili somo la kusomesha wachumba halieleweki,sasa ngoja tuanze kuitumia hii changamoto kama fursa😛😛😛
 
Password lazima....kuna mambo hayakuhusu
 
Upendo ni upofu!
Ukipenda huwezi jua wakati upi upo sahihi na upi upo wrong!
Ukiona Mpenzi wako anakwambia naomba 5000 na hajakuomba toka uwe naye na wewe unatuma hiyo 5000 tayari unaitwa bahili,
All in all ukipenda unakuwa Bwege/Boya/Zuzu
Hebu Mcheki Kanyewest na Kim,
Halafu utajua kupenda maana yake ni nini???
Me kuna rafiki yangu kaoa demu alishacheza mpaka CD za X na watu wamemwambia sana,
Unajua alichowaambia "Even if the world is against with you, I will be on yo side"
Upendo una Nguvu Sijawahi kuona kama Love!!!!!!!!!
Kuna watu walidisco chuo kwa sababu ya Upendo!!!!!!!!
Kuna watu walipata sup chuo kwa sababu ya Upendo!!!!!!
Kuna watu walikunywa sumu kwa sababu ya upendo!!!!!!!!!!
Una Mademu watatu na huwahongi pesa na wote wanajijua lakini hakuna anayetaka kukuacha hadi wanapigana!!!!!!!!!
Aah! Let Love Be Love!!
Watu wamefilisika kwa sababu ya Upendo!!!!
Viongozi wa........wanatuhumiwa kwa sababu ya Love!!!!
*****Acha kufananisha LOVE na Mambo ya******* Mkuu
 
5000 then unatoa 50000 huo ndio uanaume!
kujiongeza muhimu
Hahaha mku utaweza kuhimili maana watu wanavyojinyonga ni hatari kuliko ujimwi kwa sasa
yaan majinga kweli, halafu ukiona mwanaume anahinga elfu 50 na badae anaanza kulia lia basi ujue huyo ni tatizo.
Na wanaosomesha wachumba jamani, hata mimi nahitaji wa kunisomesha M.A, ambae anajisikia awasiliane na mimi maana naona hili somo la kusomesha wachumba halieleweki,sasa ngoja tuanze kuitumia hii changamoto kama fursa😛😛😛
 
Upendo ni upofu!
Ukipenda huwezi jua wakati upi upo sahihi na upi upo wrong!
Ukiona Mpenzi wako anakwambia naomba 5000 na hajakuomba toka uwe naye na wewe unatuma hiyo 5000 tayari unaitwa bahili,
All in all ukipenda unakuwa Bwege/Boya/Zuzu
Hebu Mcheki Kanyewest na Kim,
Halafu utajua kupenda maana yake ni nini???
Me kuna rafiki yangu kaoa demu alishacheza mpaka CD za X na watu wamemwambia sana,
Unajua alichowaambia "Even if the world is against with you, I will be on yo side"
Upendo una Nguvu Sijawahi kuona kama Love!!!!!!!!!
Kuna watu walidisco chuo kwa sababu ya Upendo!!!!!!!!
Kuna watu walipata sup chuo kwa sababu ya Upendo!!!!!!
Kuna watu walikunywa sumu kwa sababu ya upendo!!!!!!!!!!
Una Mademu watatu na huwahongi pesa na wote wanajijua lakini hakuna anayetaka kukuacha hadi wanapigana!!!!!!!!!
Aah! Let Love Be Love!!
Watu wamefilisika kwa sababu ya Upendo!!!!
Viongozi wa........wanatuhumiwa kwa sababu ya Love!!!!
*****Acha kufananisha LOVE na Mambo ya******* Mkuu
Sawa mkuu ukishafanya yote hayo because of love usije kulialia kwa wanaume wenzako unahonga uku unakenua unakuja kulia uku y
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom