Jinsi ya kumtuliza mumeo asitoke weekend

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
1,583
Reaction score
2,385
JINSI YA KUMKALISHA MWANAUME WAKO HOME WEEKEND

Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja naenda kununua gazeti.

Kumbe wanaenda kunywa supu unasubiri wee mpaka alasiri au jioni

Hivyo wanandoa wengi hili limekuwa tatizo mwanaume kiguu na njia asb mchana na njia kumuacha mama na watoto.

Nini kifanyike hasa weekenda Mwanaume ashinde NYUMBANI akikupumzikia??

Zipo njia nyingi mojawapo SUPU YA WEEKEND NA MAZUNGUMZO NA MKAO

Ni kweli wanawake wengi hamjuagi kuwakalisha waume home.

Anza hivi
Siku uko home wewe amka mapema kabla yake anza makeke jikoni…

Mara blenda priiiii… juice… ama milk shake…. hahahaha..Utaona anasogea jikoni..

Wakati anakunywa juice ama milk shake…Anza kukuna nazi…

Chambua mnafu…

Hapo jikoni kuna kanyama kanachemka… katia kitunguu tupia viazi 2 na ndizi.Hahaha..

ile harufu ikianza kutoka utasikia anafuata maji jikoni… hahahaha kwenye friji… wala hatumi..

Hahaahha… utasikia nini kiko jikoni?Hahahaa.

Mmiminie supu…

Na ndizi mbili na kiazi kimoja kapilipili mbuzi pembeni..

Muulize kuna chapati…Mpe.. hahahahaha..Akimaliza supu nakuapia atasinzia..

.Akishtuka ugali na mnafu na nyama umeiva…Mpe ale..Mshushie na glass ya mtindi…Hahahaha..

analewa full Hata kama kuna mama junior anaambiwa usipige…

Hahahahahaha….Baada ya hapo acha apumzike… aoge…

Kisha funga ka khanga kako kepesi jilaze pembeni.. woiiiiiiiii..

Mkimaliza muombe pesa ya sokoni…

NAKUAPIA HATA KAMA JANA YAKE ALIKUPA ATAKUPA TENA.

Hahahahaha.. jamani…

Hahahahaha… yani kwa raha ya supu… nakuapia utaambiwa hata mama alipiga simu jana… hahahaha.. ama utasikia mamii.. njoo uone njoo… unaitiwa kitu cha kwenye tv.. hahaha.

Hata hujaona mwanzo ila kwa raha yakasupu utaitwa…

Hata kama huna kalio nakuambia utapigwa kibao hata cha mgongo…. hahahahahahahahahaha.

Sasa wewe unaamka chai na mkate kama chuo cha uhazili…
Wali maharage kama jeshi la j....
 
Siku zote mtu akipata kitu ana bweteka na kujisahau.. wakat wa uchumba na mwanzo wa ndoa haya mambo hufanyika sana.. akizoea tu basi graph ya mapenzi ina shuka na nyumbani vivutio vya kuniweka mwanaume home vina pungua na kero na usumbufu vina ongezeka..
 
Tatizo huu ushauri michepuko ndo inaufanyia kazi kwa kiwango kikubwa, hawa tunaoishi wakishavaa pete wanaanza kula hadi wanaota vitambi.
japo kuna ka comedy ila nimeelewa hawa wanawake hawa yaani anaolewa mrembo kweli anakuja kuota kitambi! aisee
 
Kabla ya ndoa hayo hutokea ila akishatiwa ndan uwiiiiii michepuko ndo inakomalia ushaur huo uliotolewa
 
..wanaume hawafuati chakula kwa michepuko bali uchi murua....hizo nguvu za misosi jikoni ungeshauri zielekezwe kwenye viuno....michepuko inawapata wanaume za watu kwa ujanja wa sita kwa sita na si misosi...maana wanaume wengi chakula si issue majumbani mwao....wanawake ongezeni ujuzi kwenye sita kwa sita...na pia unene na vitambi pynguzeni...kama mnataka kuwabana wanaume...
 
..wanaume hawafuati chakula kwa michepuko bali uchi murua....hizo nguvu za misosi jikoni ungeshauri zielekezwe kwenye viuno....michepuko inawapata wanaume za watu kwa ujanja wa sita kwa sita na misosi...maana wanaume wengi chakula si issue majumbani mwao....wanawake ongezeni ujuzi kwenye sita kwa sita...na pia unene na vitambi pynguzeni...kama mnataka kuwabana wanaume...
Wamekusikia mkuuuu...
 
JINSI YA KUMKALISHA MWANAUME WAKO HOME WEEKEND

Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja naenda kununua gazeti.

Kumbe wanaenda kunywa supu unasubiri wee mpaka alasiri au jioni

Hivyo wanandoa wengi hili limekuwa tatizo mwanaume kiguu na njia asb mchana na njia kumuacha mama na watoto.

Nini kifanyike hasa weekenda Mwanaume ashinde NYUMBANI akikupumzikia??

Zipo njia nyingi mojawapo SUPU YA WEEKEND NA MAZUNGUMZO NA MKAO

Ni kweli wanawake wengi hamjuagi kuwakalisha waume home.

Anza hivi
Siku uko home wewe amka mapema kabla yake anza makeke jikoni…

Mara blenda priiiii… juice… ama milk shake…. hahahaha..Utaona anasogea jikoni..

Wakati anakunywa juice ama milk shake…Anza kukuna nazi…

Chambua mnafu…

Hapo jikoni kuna kanyama kanachemka… katia kitunguu tupia viazi 2 na ndizi.Hahaha..

ile harufu ikianza kutoka utasikia anafuata maji jikoni… hahahaha kwenye friji… wala hatumi..

Hahaahha… utasikia nini kiko jikoni?Hahahaa.

Mmiminie supu…

Na ndizi mbili na kiazi kimoja kapilipili mbuzi pembeni..

Muulize kuna chapati…Mpe.. hahahahaha..Akimaliza supu nakuapia atasinzia..

.Akishtuka ugali na mnafu na nyama umeiva…Mpe ale..Mshushie na glass ya mtindi…Hahahaha..

analewa full Hata kama kuna mama junior anaambiwa usipige…

Hahahahahaha….Baada ya hapo acha apumzike… aoge…

Kisha funga ka khanga kako kepesi jilaze pembeni.. woiiiiiiiii..

Mkimaliza muombe pesa ya sokoni…

NAKUAPIA HATA KAMA JANA YAKE ALIKUPA ATAKUPA TENA.

Hahahahaha.. jamani…

Hahahahaha… yani kwa raha ya supu… nakuapia utaambiwa hata mama alipiga simu jana… hahahaha.. ama utasikia mamii.. njoo uone njoo… unaitiwa kitu cha kwenye tv.. hahaha.

Hata hujaona mwanzo ila kwa raha yakasupu utaitwa…

Hata kama huna kalio nakuambia utapigwa kibao hata cha mgongo…. hahahahahahahahahaha.

Sasa wewe unaamka chai na mkate kama chuo cha uhazili…
Wali maharage kama jeshi la j....
Wewe Janguo,yaani niache kwenda kunywa bia na mchepuko wangu(baby) mwenye figure la kutoa kiu ya nyege,eti mke wangu mwenye tumbo kama ngoma ya bugobogobo na uzito kama kiboko hugo ananipikia supu sijui nyama na chapati atiii,eti ooh mme wangu kunywa supu upumzike,.,.,..maweeeeee,jumamosi nimeishajiandaa kwa ajili ya kwenda kuliwazwa na kupewa massage na mrembo,hapo natoka nduki,hizo chapati na supu mpe dada wa kazi ,.,.marabuku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom