Nina mkosi wa mapenzi

Nina mkosi wa mapenzi

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
Kutokana na ugumu wa maisha nimejiwekea mpango wa kuwa na mpenzi lakini sitaki serious relationship na huwa nakuwa muwazi siku zote kwa wadada kwamba mimi sitaki serious relationship lakini after few days msichana anaanza kuniganda na kudai anataka nimuoe na sio mmoja ilo swala limenitokea Mara nyingi sana nashindwa kuelewa kwanini.
 
Mapenzi ni ajira kwa wanawake, ukitaka wasikugande usiwape hela
 
Kutokana na ugumu wa maisha nimejiwekea mpango wa kuwa na mpenzi lakin sitaki serious relationship na huwa nakuwa muwazi siku zote kwa wadada kwamba mm sitak serious relationship .. lakin after few days demu Ana aanza kuniganda na kudai anataka nimuoe ... na sio mmoja... ilo swala lime nitokea Mara nyingi sana .... nashindwa kuelewa Kwa nn !

SASA we unataka uwachezee tu usiwaoe
 
Katafute machangudoa uwape cash upate penz uachane nao ila mpira muhimu
 
we jisifie kidume kwa kung'ang'aniwa, mwenzako anatafuta maisha hapo.. mgaagaa na upwa hali wali mkavu ipo siku watakuingiza kingi tu mi nipo
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ...
 
we jisifie kidume kwa kung'ang'aniwa, mwenzako anatafuta maisha hapo.. mgaagaa na upwa hali wali mkavu ipo siku watakuingiza kingi tu mi nipo
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ...

Naongea ukweli lakin
 
Hakuna anayependa kutumiwa hovyo bila malengo, kama unajiona hauko tayari kuwa committed bebaga wale wa usiku mmoja.
 
Kama unataka hao basi uende kulipia au chukua wanafunzi, vibinti vidogo. Wadada wanaojielewa sasa ivi wanataka ndoa. Ko ukimtongoza akakubali nafikiria kua huyu ndo atakua mume wangu. Mi kwakweli naulizaga mapemaaa! Unataka casual au serious!
 
Back
Top Bottom