Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
Mwanamke (mke) tambua wajibu wako na nafasi yako ndani ya nyumba ili kuepusha migogoro isiyo na maana. Iko hivi, mwanamke (mke) ni msaidizi wa mwanaume (mume) pia ndo mshauri mkuu wa mume.
Mume ndo kichwa cha familia ndio mtoa maamuzi ya mwisho wa familia ndio kiongozi mkuu wa familia, panapokuwa na watoa maamuzi zaidi ya mmoja kwenye taasisi moja kinachofuatia ni migongano na migogoro.
Mara nyingi sana wanawake wanajaribu kutaka kuchukua nafasi za wanaume katika familia hasa suala la maamuzi. Mme inatakiwa atoe maamuzi baada ya kupima na kutafakari ushauri alopewa na mke wake.
Mke kumbuka, unapomshauri mme kuna kukubaliwa au kukataliwa kwa ushauri wako ukikubaliwa hewala, ukikataliwa usilazimishe kumbuka mtoa maamuzi ni mmoja tu ndani ya nyumba.
Hili inabidi mke ulitambue kabla hata hujaolewa ukitaka uishi maisha ya kujiamulia mambo yako ishi peke yako au tafuta mwanaume umuoe.