dedon
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 1,507
- 2,072
Mimi ni kijana wa miaka 25 urefu1.8 meter na ni maji ya kunde pia ni mwajiriwa serikalini, natafuta mke wa kuanza nae maisha mwenye umri kati ya miaka 20-25, dini yoyote ile awe mzuri wa kuvutia, pia la muhimu awe mtafutaji either ana kazi au lah as long ana mipango ya kueleweka na maisha yake, mwisho wa yote awe tayari sie wote kuongozana kwenda kupima UKIMWI kabla ya jambo lolote.
Wote mnakarbishwa.
Wote mnakarbishwa.