Wanaopenda kufanya ngono kinyume na maumbile

Wanaopenda kufanya ngono kinyume na maumbile

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
1,505
Reaction score
677
Mimi nipende kuwauliza maswali haya machache

1.Mnapata raha gani?

2.Hamjui ya kuwa ni sehemu ya kutolea uchafu

3.Hivi mnapofanya hivyo si ni sawa na kula kinyesi cha huyo mwenzio?

4.Hiyo tendo si sawa na kubaka wanyama?

5.Ni dini gani inayohalalisha hilo tendo?

6.Hamuoni kama ni uchafu??

7,Unafanya tendo hilo kwa lengo gani?

8.Unapofanya hivyo je unadhani ni sahihi??

9.mnaopenda huo mchezo, je ukijasikia mtoto wako anafanya huo mchezo, je utajisikiaje? Je utampiga?


Ni hayo tu wadau
 
Naona wameona aibu maana sioni mapovu yakiwatoka:mad2:
 
Dunia imeshaharibika hadi sis wenye mabinti zetu tunaogopa mchumba akija tunamuangalia ,mara mbili mbili asikekuwa Mliberali
 
Tumefanya madhambi mengi jamani...!!
Kama ukiwekewa mkanda/cd ya uchafu ulofanya waweza kukimbia
 
Mkuu unakosea kusema hivyo hi kitu haina mipaka wala dini, wewe mwenyewe si umeona ile kesi ya wale makasisi wa kiroman walivyokuwa wanafanya

Ok nimekuelewa na excuse kwa kukukwaza but sijataja maeneo hayo kwa vile kuna Uislam sana ila nimetaja kwa kuwa maeneo hayo hivyo vitendo vinafanyika sana pia ndo sababu sijataja Tanga,Mtwara,Lindi,Pwani,Tabora nk..hata Ulaya vipo sana hasa USA but it is open
 
Naona wameona aibu maana sioni mapovu yakiwatoka:mad2:

Ngoja nikawaite....

Afu haya maswali pia wayajibu wanaopenda kuingia chumvini na kunyonya koni.... mdomo huohuo ndo wanasalia au wanasalia tundu ka kumwaga kinyesi??
 
Mombasa,Zanzibar na Uarabun

Weeee koma umesahau Tanga, dar es salaam, England , italiano walimfir* mmasai mpaka wakamuua, spain, inshort Europ yote Via America na baba yao obama aliehalalisha na kustipisha kutoa msaada kwa wanaokataa kisa watu wavirwee nyumaa
 
Back
Top Bottom