Ukitoka na mume wa mtu unatumika dada yangu

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,270
Reaction score
29,938
DONGO............

Kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mume wa mtu, utakuwa umekubali kuwa mwanamke wa daraja la pili, na siku zote mtu wa daraja la pili ni wa chini ukilinganisha na daraja la kwanza.

Angalia sasa.....kama yupo na wewe na mkewe akapiga simu atamdanganya kuwa yupo ofisini au kwenye kikao na hautakuwa na ujasiri wa kuingilia mawasiliano yake. Pia anapokuwa nyumbani kwa mkewe huwezi kumpigia wala kumtext.

Dada yangu wewe ni mdoli?? Anakuchukua kwenu kwenye gari yake anakupeleka vyumba vya hoteli lakini mke wake amemkabidhi nyumba nzimaaaa.

Dada yangu shtuka!! Anakutembelea nyumbani kwako na unamtambulisha kwa rafiki zako na majirani zako kuwa ni boyfriend wako bila kujua unajizibia nafasi ya kupata mtu sahihi wa kujenga nae maisha. Na mbaya zaidi hupajui hata yy anapoishi.

Dada yangu mpk lini utaendelea kujiharibia future yako??? Anatoka na ww out anakununulia kila aina ya pombe na wakati huo huo hawezi kumruhusu mkewe kunywa pombe ya aina yoyote ile.

Akili ya kawaida ikwambie kwamba anafanya hivyo ili ulewe vilivyo na apate wasaa wa kukukandamiza vizuri kitandani.

Dada yangu je mwili wako ni wa majaribio?? Anakupa mimba na anakupa pesa uende ukaitoe lakini mke wake akipata mimba nyumbani ni sherehe na anampa pesa za kuandaa maternity dress na vitu vya mtoto.

Dada yangu kumbuka tayari anayo familia yake, kama ulikuwa hujui jamaa huwaeleza marafiki zake yote mnayofanya hotelini, lakini hata siku moja hawezi kuwaeleza anayofanya na mkewe.

Hii inafanya marafiki zake wakuone kama mwanamke wa hadhi ya chini kabisa.

Unazo picha zake katika simu yako na umesave namba yake kwa majina mazuri kama sweetheart, My love....etc.

Lakini picha zako haziwezi kupatikana katika simu yake na namba yako ameisave kama Fundi jenereta, Fundi gari, Mzibua choo......etc

Unatakiwa ukumbuke kwamba mwanamke asiye na akili sehemu zake za siri ndizo zitakozoumia zaidi...

[HASHTAG]#AmkaDadaYangu[/HASHTAG] unatumika..........
 
Wakija na hoja zao usikimbie.. ngoja waje...!!!???[emoji85] [emoji85]
 
Kwanza ungewapima DNA watoto wako hapo nyumbani then majibu uliyopata ndio ungeandika huu uzi

Huyo unayemuona umemuoa yuko ndani kwako naye anafanyiwa hayo unayoyapinga

Mfano we unajua umeshamuoa ila hajamuacha boy friend wake ukiacha viela vya matumizi anamtoa jamaa yake na jamaa kwa vile anajua ameolewa anakula hadi TIGO
 
Acha waendelee na wao wakiolewa watashare!

Na huwa wa kwanza kulalamika waume zao wakitoka nje,wanasahau kabisa wao walifanya nn huku nyuma kwa wenzao!
U must pay the price.

Zinaa ni ibada, na ikishaingia kwny ndoa kuna shida na matatizo mengi huja lkn watu huchukulia poa sn hawajui chanzo ni zinaa... hasa wanaume wenye ndoa zao!

Ila na wanawake mliopo kwny ndoa mkae vzr kwny nafasi zenu,mda wa kumsimulia shost tabia za mumeo ,omba Mungu,pangua kila hila za adui!

Ngoja niende zangu yanatosha kwa leo!
 
DONGO............

Kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mume wa mtu, utakuwa umekubali kuwa mwanamke wa daraja la pili, na siku zote mtu wa daraja la pili ni wa chini ukilinganisha na daraja la kwanza.

Angalia sasa.....kama yupo na wewe na mkewe akapiga simu atamdanganya kuwa yupo ofisini au kwenye kikao na hautakuwa na ujasiri wa kuingilia mawasiliano yake. Pia anapokuwa nyumbani kwa mkewe huwezi kumpigia wala kumtext.

Dada yangu wewe ni mdoli?? Anakuchukua kwenu kwenye gari yake anakupeleka vyumba vya hoteli lakini mke wake amemkabidhi nyumba nzimaaaa.

Dada yangu shtuka!! Anakutembelea nyumbani kwako na unamtambulisha kwa rafiki zako na majirani zako kuwa ni boyfriend wako bila kujua unajizibia nafasi ya kupata mtu sahihi wa kujenga nae maisha. Na mbaya zaidi hupajui hata yy anapoishi.

Dada yangu mpk lini utaendelea kujiharibia future yako??? Anatoka na ww out anakununulia kila aina ya pombe na wakati huo huo hawezi kumruhusu mkewe kunywa pombe ya aina yoyote ile.

Akili ya kawaida ikwambie kwamba anafanya hivyo ili ulewe vilivyo na apate wasaa wa kukukandamiza vizuri kitandani.

Dada yangu je mwili wako ni wa majaribio?? Anakupa mimba na anakupa pesa uende ukaitoe lakini mke wake akipata mimba nyumbani ni sherehe na anampa pesa za kuandaa maternity dress na vitu vya mtoto.

Dada yangu kumbuka tayari anayo familia yake, kama ulikuwa hujui jamaa huwaeleza marafiki zake yote mnayofanya hotelini, lakini hata siku moja hawezi kuwaeleza anayofanya na mkewe.

Hii inafanya marafiki zake wakuone kama mwanamke wa hadhi ya chini kabisa.

Unazo picha zake katika simu yako na umesave namba yake kwa majina mazuri kama sweetheart, My love....etc.

Lakini picha zako haziwezi kupatikana katika simu yake na namba yako ameisave kama Fundi jenereta, Fundi gari, Mzibua choo......etc

Unatakiwa ukumbuke kwamba mwanamke asiye na akili sehemu zake za siri ndizo zitakozoumia zaidi...

[HASHTAG]#AmkaDadaYangu[/HASHTAG] unatumika..........
Usiwashtue wacha tuwatumie tuu!!!
 
Acha kukatisha tamaa mabinti wewe,wake zetu nyumbani hatuwajali kabisa,lakini warembo wetu tunabembeleza ile mbaya na tunagharamia mpaka nyumba tunawajengea na tunazaa nao kabisa,acha zako bhana.
 
Back
Top Bottom