Kushindwa kuacha punyeto ni uzembe

Kushindwa kuacha punyeto ni uzembe

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,385
Reaction score
2,851
wakuu
mimi nilikuwa sijawahi kupiga punyeto..na wala sikuwa nataka kujaribu maana nilikuwa naona watu wakitafuta kila njia kuacha...
lakini wiki iliyopita niliona uzi unaohusu punyeto humu jf nikaona isiwe tabu ngoja nikajaribu
nikatest...ilikuwa good kwa kweli...siku hiyo nilienda mara tatu...kesho yake mara tatu...na nikasema huu ndo mwisho na sijaenda tena na sina mpango huo tena...acheni uzembe
 
Hujaacha ila umesitisha kwa muda tu..
 
...umeonja asali,naona umenogewa na utaendelea tena,alafu utkuja humu tena kusema umepiga na umeacha,aisee karibu sana
 
Karibu sana kwenye chama, usijidanganye umeacha...
Ipo siku utasema ngoja nijaribu tena mara halafu naacha, na itakuwa hivyo kila baada ya muda...

Bora hata usingejaribu nakupa pole sana mwanachama mpya wa CHAPUTA jisajili tu kabisa, hili chama halijaribiwi.
 
Hata Mimi wakati naanza niliwaza kama wewe ila huu mwaka wa 5 bado sijaacha japo naweza kaa hata miezi miwili. Karibu sana Chama la Wana CHAPUTA
 
jarbu kupiga miaka
kadhaa afu tangaza unaacha uone ka utafanikiwa
 
wakuu
mimi nilikuwa sijawahi kupiga punyeto..na wala sikuwa nataka kujaribu maana nilikuwa naona watu wakitafuta kila njia kuacha...
lakini wiki iliyopita niliona uzi unaohusu punyeto humu jf nikaona isiwe tabu ngoja nikajaribu
nikatest...ilikuwa good kwa kweli...siku hiyo nilienda mara tatu...kesho yake mara tatu...na nikasema huu ndo mwisho na sijaenda tena na sina mpango huo tena...acheni uzembe
utakuwa ni uchovu tu
very soon utaendelea
 
Duhh tatu kwa mkupuo au baada ya muda",..
ngoja zipande alfu uje utujuze umeacha",..
 
endeleeni kuniombea mabaya...sirudi ng'ooo
 
Bora usingejaribu kabisa...
Punyeto haijaribiwi...
Utazifidia hizo siku zote ulizoziruka siku utakayo puchua.
 
Back
Top Bottom