Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
Habarini wakuu.
Babu kabla hajafa aliniachia kijana wake Wosia kuhusu namna ya kuishi kwa furaha na amani Duniani haijalishi kama ntakuwa na pesa au sitakuwa nazo. Wosia huu umenifanya nienjoi life jambo ambalo wengi wanalishangaa.
WOSIA WA BABU.
1. Wewe ni mwanaume badaye utakuwa Mwanamme.
hakikisha unatunza heshima yako, usithubutu mtu awaye yeyote adharau uanaume wako. Jitahidi kutimiza wajibu wako kama Mwanaume. Mwanaume hachoki, mwanaume ni kichwa sikuzote, lazima uone mbali, mbali asikoona mwanamke. Mjukuu wangu, Umekaa na Mimi zaidi ya miaka 15. Uliona nilivyokuwa naishi na Bibiako. Lazima uwe na muono wa mbali, wakati jua lipo mashariki basi humulika magharibi, kadhalika na wewe vivyo hivyo. Nadhani umenielewa. (Alikohoa kidogo kisha akaendelea).
2. Msimamo na ndimi zisizogawanyika.
Mjukuu wangu ukitaka usiaibike kama mwanaume hakikisha unakuwa na msimamo na watu wote wajue hivyo. Wajue unachokisimamia. Ni Aibu kwako kama Mwanaume kutokuwa na Msimamo, kuyumbishwa yumbishwa kama bendera. Maamuzi ya Mfalme hayabadilishwi hata jua lingetoka Magharibi lichwee mashariki. Wewe ni mfalme mjukuu Wang. Hata kama umekosea usijute mbele za watu bali moyoni, kujuta mbele za watu kwa Mwanaume ni dhambi. Sana zaidi Usijipinge mwenyewe mjukuu Wang. Ukijipinga mwenyewe basi hata wengine watakupinga hata wale wasio na hoja. Ukiongoe jambo hakikisha umelifikiria Sana maana hutotakiwa kulibadilisha. Hivyo Usiwe na ndimi mbili. Ukisema hapana iwe hivyo.
3. Fanya Kazi sana.
Mjukuu wangu huu utajiri unaouona hapa haukuja kwa mazinga Ombwe. Ulikuja kwa kufanya kazi pamoja na bidii, juhudi na nidhamu ya pekee. Nilioa nikiwa nina ng'ombe moja, Bibiako alinisaidia Sana na hii yote ni kutokana tulipendana. Alipenda Misimamo yangu japo wakati mwingine ilikuwa kama inamuumiza. Hivyo Fanya kazi sana utapata chochote ukitakacho.
MAHUSIANO:
4. Usiwe na Huruma kwa Mwanamke Bali busara.
Mjukuu wangu Wanawake hataki huruma, ukiwahurumia umejiumiza mjukuu wangu. Mwanamke hata aonyeshe kuhurumiwa kwa aina Fulani usionyeshe dalili za huruma kwake. Ikiwa Atakutishia Kuachana basi anza wewe kumuacha pale pale na watu wote wajue hivyo. Kumbuka maneno yangu usiwe na huruma bali busara.
Mwanamke ukimhurumia mjukuu wangu umeumia, hakikisha asijue kwamba unahuruma hii itamfanya asifanye makosa kwa makusudi.
5. Usimwamini mwanamke maana hata yeye hakuamini.
Hii huenda sambamba na kutotarajia mazuri kutoka kwa mwanamke. Ukimwamini na kutarajia mazuri kwa Mkeo basi utajitengenezea magonjwa yasiotibika.
6. Mwanamke akikutishia kukuacha muache yeye pale pale.
Bibiako kipindi cha mwanzoni nilimwambia siku utakayo niambia kuwa tuachane au unarudi kwenu iwe kwa hasira au kudhamiria basi ndio Nimekuacha.
Mjukuu Wang Bibiako hakuwahi kunitisha kuhusu jambo hilo. Nawe mwanamke ukikutana nae mwambie siku ukinitisha iwe kwa kumaanisha au la nakuacha kweli kweli.
7. Mwanaume unapaswa ujiandae kwa Lolote.
Kama Mkeo atakusumbua kwa namna yoyote basi usisite kupiga chini.
Jiandae kwa lolote Mjukuu Wang, ili hata Mwanamke akitaka talaka uashumu kama amekufa.
Mwanaume ni nuru ya familia, hakikisha unAmulika kila kona.
8. Ukiwa Kitandani na Mkeo weka ubinafsi pembeni.
Mjukuu Wang ukiwa mbinafsi hushiba na kumaliza haraka. Mwanamke haendewi kwa harara mjukuu Wang utaumbuka. Hakikisha kila kiungo kimeguswa. Sio mtoto anatoka hata kiuno na mgongo havina maumivu.
Zamani mwanamke akiingia kwenye tendo la ndoa hufumua nywele zake kwani hujua kitakachoenda kutokea. Akitoka nywele huwa vurumai huku macho yakiwa yamechoka, hakika lazima kwa siku mbili augue kutokana na tendo ulilomfanyia ndio maana tendo hili zamani lilikuwa linafanyika mwishoni mwajuma ili kupisha kale kahoma baada tendo la ndoa.
9. Usifanye kila Mara tendo la ndoa hupunguza ufanisi kitandani.
Usifanye kila Mara ila ukifanya Fanya kweli maana mwili wa mwanamke huhitaji nguvu 70% akili30%.
Hivyo angalau kwa wiki Mara moja. Hakikisha mwanamke ndio awe anauhitaji na sio wewe. Ukifanya hayo basi Mwanamke hawezi kukuacha.
10. Usisikilize Propaganda za Ujanani.
Mjukuu Wang, utakapokuwa kijana utasikia Mengi. Walakini wewe Usiyatilie maanani japo yaangalie kwa hadhari.
Usiendeshwe na maneno ya vijiweni wala kejeli za kinadada bali tambua ndio wakati wake.
Utasikia mengi kuhusu maumbu, rangi na Kimo chako lakini puuzia.
Wanawake watajifanya wanahitaji wanaume warefu au wenye mvuto wa kila aina kukushinda lakini hawatatambua wenye shida hizo ni wengi kuliko wanaotafutwa.
Usije ukajali kuhusu maumbile yako kuwa labda ni mabaya bali shukuru kwa hayo.
Pengine ukadhani Mbo* yako ni fupi au ndogo lakini Uanaume ni vile uwezavyo kumtawala na kumridhisha mwanamke.
11. Ridhika na Ukipatacho na Ulivyokuwa navyo.
Mjukuu Wang, ukipata Mke shukuru na uridhike nae. Usijiulize maswali mengi ukapata wasiwasi. Pia Ridhika na Mali uliokuwa nazo.
12. Mpende Mkeo na umuheshimu nawe Mfurahishe kwa majaliwa yenu.
Niendelee nisiendelee?
13.
14.
15.
16.
17.
18.
19.
20.
21.
22.
Usikose Wosia wa Bibi (1-22)
Team true love