God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
................
Huko kwenye starehe nyingine, utakutana nayo tena...!Nimechoka kuumizwa na sketi sasa nahitaji kuachana na mapenzi rasmi na kumlea wanangu.
Napenda huu uzi tufarijiane wale ambao tumeshateseka sana na mahaba tufanye starehe nyingine kabisa haya mambo ya ngono tuachane nayo.
Mimi saivi ntakua naweka mawazo yangu kujisomea vitabu, kuangalia muvi na kusaidia watoto yatima.