Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 812
Habari mda huu,
Dada zangu mnapokuwa na wapenzi wenu mkifanya mambo yenu.Haswaaa...pale ambapo umefikia ...end point ..yaan ule utamu unapousikia hebu taja jina la mume wako..mara kwa mara husaidia kuongeza upendo.Mume kujiona Mjanja na anapendwa kwa dhati hata kama alikuwa hakupendi atakupenda nakuongeza upendo.
ANGALIZO.
Dada zangu,Mashem zangu hebu jitaidini kufanya vitu tofauti kunako 6×6 ili matatizo ya kuchukuliwa waume zenu na machangudoa yaishe.
Uliza lolote kuhusu mapenzi nitakujibu.