Baby M
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 1,037
- 415
Habari zenu nyote,
Mimi leo nimeamka nataka kusikia habari au shuhuda za watu wenye uzoefu mzuri tuu wa mahusiano, yani nipate hamasa, nimechoka sikia habari mbaya za haya mambo, yananitisha hata kuolewa jaman.
So, kama unajua unajambo lolote zuri la kunieleza kuhusu ndoa or relationship, please andika hapa nihamasike, good vibes only!!!!!!!!!!!!
And after all lets learn to be positive about these things eeh!
Thank you in advance🙂