papakitope
Member
- Oct 31, 2016
- 17
- 3
Katika global world hii leo wanandoa na hata wapenzi wamekuwa hawaaminiani kabisa kutokana na maendeleo ya kiteknolojia
Wanaume weng wamekuwa wakiamini kuwa wakifanyiwa baadhi ya mambo ndio indicator ya real love. Kwa mfano
1. Kuwekwa na mpenzi wake d.p
2. Kupeana passwords za social network
3. Kubwa kuliko ni kusex ( Wanaume wengi wamekuwa wakiamini kuwa kunyimwa nyapu na mpenzi wake anakuwa hampendi kuna mtu mwingine anampaga)
Wewe je unapimaje real love kutoka kwa mpenzi wako?
#Don't_destroy_de_fun